Nimfanye nini huyu mwanamke?

Nimfanye nini huyu mwanamke?

Mkuu umetupa weakness zake tu tunaomba utuambie na mazuri yake ili tupime kwenye mzani tuone kilichozidi na tutoe ushauri sasa.
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
 
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa

Twende kwenye mada

Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani

Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy

Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa

Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...

Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu

Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje

Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?

Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Kamanda wewe ni mwanaume mpoa sana umebarikiwa ila uko na mwanamke pepo, nahisi yupo demu poa umemtelekeza au umedharau, hakuna mwanamke hatari kama muongo,mnunaji na anaekunyima unyumba. Usimchukua mwanamke kwa zinaa au kwa muonekano wake.

I love women na i hate women huanga sielewangi these devil animals. They are not humans as we men are, am yet to settle with understanding them, i just hook them just for appetite only.
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Kwa hiyo unataka upewe nini mkuu zaidi yake?
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Sasa mbona mzani umezidi kwenye mazuri yake mkuu, kiukweli hakuna binadamu asiye na mapungufu hata wewe hapo tukimuuliza yeye anayo mapungufu mengi tu kuhusu wewe. Hayo mapungufu kidogo unaweza ukazidi kukaa naye na kumrekebisha inaweza saidia. Changanya na zako mkuu
 
Ndio mana naipenda jf mkuu nimepata kitu
 
Ilishasema ukiwa huna hela atakununia au kunyimwa unyumba ,ipo siku huna hela atachekewa mwenye hela na kuliwa uroda
 
Ilishasema ukiwa huna hela atakununia au kunyimwa unyumba ,ipo siku huna hela atachekewa mwenye hela na kuliwa uroda
Hilo hata nilikotoka ilikuwa hivyo ex wangu niliwahi mkuta gest na jamaa alafu sikusema lolote nikamzidishia mapenzi afu nikamuweka pembeni sio siri alijutia sana mpaka kesho tukionana huoniomba msamaa japo alishaomba kwahy Mkuu nimezoea kusalitiwa na nmejipanga kiaaikolojia
Hapa kwa huyu nalia na kudanganywa tu ila nje atoke tu sijali
 
Mbona una maamuzi yako sasa ushauri wa nini
 
Hayaamini maamuzi yake (hajiamini)

Uandishi wake unaonyesha ana miaka 27+-

Si vibaya kumsaidia ushauri....

Ushauri wangu
---------------
Asipende/asizoee sana kuomba ushauri mitandaoni.
Huku kuna miluzi mingi.
 
Hebu tutajie vitu vitatu vizuri alivyo navyo mwenza wako hadi ukaakaa naye miaka miwili na kuikiria kuwa mkeo? Vitatu tuanzie hapo kwanza
 
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa

Twende kwenye mada

Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani

Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy

Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa

Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...

Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu

Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje

Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?

Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Umeongea kwa jazba mkuu
 
Hamna kitu hapo unapoteza muda tu. Vijana mwanamke ukiwa nae kama hauna maisha halafu unategemea yeye aje ndipo mtafute pamoja hayo maisha then u are wasting your best years of life and huo uhusiano utakuwa ni sarakasi tu sababu wanawake wa kaliba hiyo sidhani kama wapo miaka hii.

Hizi efforts za kugombana na kubishana na mwanamke ungetia katika kugombana na changamoto za maisha iikiwamo kujifunza mbinu bora za kisasa za kupata pesa na kujenga himaya yako then ungeanza kupiga hatua kwa haraka sana. Sababu hicho unachokitaka kwasasa huko mbeleni utakipata hadi utakinai.

Kwa sasa wewe priority iwe kwanza ni wewe na MUNGU wako katika kujijenga kama mtoto wa kiume. Jenga mahusiano bora na MUNGU akupe nguvu, maono, ujasiri, uwezo, na mbinu za kuweza kubaini na kutumia vipaji alivyokupa katika kujijenga kimaisha na ujitahidi hadi uyaone mafanikio yanaanza kunukia na kukujia.

Na mafanikio yakija then jiwekeze zaidi katika kujiimarisha na kuboresha maisha yako. Uwe na assets zako ambazo zitakupa cash flow nzuri ya uhakika, fanya mazoezi, kula chakula kizuri na kwa wakati,kuwa mtu wa ibada, jenga network nzuri ya ndugu jamaa na marafiki ambao watakuwa msaada maeneo mbali mbali ya maisha yako na familia yako utayotengeneza,kaa mbali na maisha ya kihuni. Tupia ila kwa akili achana na mambo ya kuendekeza hisia za kuganda kama kumbi kumbi sababu huko ndio unapoteza uanaume wako.

Ukishakamilisha haya na yakaonekana then utakuwa tayari kutafuta mwanamke wa kujenga nae familia.

Shida inakuja mara nyingi huwa watoto wa kiume huwa mnahangaikia sana kupata mwanamke as if ni Golden Goose (Bata wa dhahabu) ambae ndio ana siri ya mafanikio yako something which is not true.

Kwa hali ya maisha ya kisasa na mitazamo iliyopo ni ngumu sana kwa mwanamke kuishi na mwanaume katika mazingira ya mwanzo wa maisha bila chochote bila kupitia mifarakano, mizinguo, michubuano, vituko na visa, kupotezeana muda, kufujana nguvu kazi, na kadhalika. Na pengine mnaweza msifike mbali au mkafika mkiwa na uchovu wa kihisia sana na kushindwa kuweza kuwa na upendo unaotakiwa. Ikitokea ukapata ambae hana njaa na tamaa ya maisha ya urahisi then mshike vema na mjijenge pamoja ila kwa dunia ya sasa ni ngumu sana kupata pisi kali halafu iwe na utu ndani yake wa kuvumiliana na kuwa na focus ya maisha. Nasisitiza tena wapo ila ni very rare.

Ila lait kama mtoto wa kiume ukianza kujijenga mapema unakuwa na advantage ya kuanzisha familia kwa utulivu. Na hapa sizungumzii uwe bilionea au milionea bali kuwa na maisha before haujaanza kuhangaika na mahusiano serious kwasababu mabinti wa sasa hawajapitia hizo training za kuunda mifumo ya kujenga maisha. Wasasa wao akili zinaanza kufunction na kutambua kuwa wao ni mke wa mtu pale akikuona upo katika sehemu una maisha yako na hautetereki na mambo ya kidunia.
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Then kasome tena nilichokushauri. Huyo binti unampa majukumu ambayo yeye anaona hayamuhusu. Amejiandaa kuwa mke wa mtu sio mpambanaji mwenzako wa maisha.
 
Back
Top Bottom