Kaka wanaosema uoe huyo dada wapuuuzie[emoji28][emoji28]
Mosi, uchumba ndio kipindi Cha kuact Ili uweze faa kuingia ndoani sasa kama yeye kwenye uchumba ushaona hivyo kwenye ndoa je.
Pili, huyo hakawii kununia ndugu zako ,nitashindwa kukutembelea ukiwa namke wa namna hiyo Mana sitojua kakununia wewe au uwepo wangu pale.
Tatu, akili za kuambiwa changanya na zako, labda anaonesha hizo red flags na kuwa real Ili ujueee ni mtu wa namna gani, Ili ujipime kama unawezana nae au huwezan nae muachane SO AKILI KUMKICHWA