Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Suala la maisha ya ndoa ni wewe tu ndo unaweza kuamua kama umempenda, hayo mengine ni ya ziada na kama mmekubaliana mengine ni ya ziada
 
Muoe mkuu kikubwa upendo tu hiyo kazi ni kazi kama nyingine,kuchapiwa inategemea na mwanamke mwenyewe anavojiheshimu mbona kuna wanawake ni akina mama wa nyumbani lakini wanasaliti ndoa zao daily kazi isikutishe kikubwa mmependana wenyewe oaneni kazi ni kazi tu.
 
Chukulia siriazi ushauri unaotolewa kama utani humu maana ndo uliobeba ukweli. Najua ni ngumu kuelewa kwa sasa lakini baada ya miezi michache utakuja utafuta uzi wako humu nakuanza kugonga like kwa ushauri ambao leo unaudislike na kuupita kama huuoni. Polisi si mke wa kuoa; mwanamke yeyote aliye kwenye security unit yoyote hafai ila kama ni kudonate sperm donate tu mkuu lakini kwa kuoa tafuta barmaid unamstaafisha kwa lazima kama umekosa mke wa kuoa.
Kwa polisi hata malaika akijiunga anakuwa malaya kutokana na mazingira ya training yao, mazingira ya kazi na interaction zao na stori zao wawapo vituoni au lindo. Uharaka na shauku ya kupata mkwanja. Wengi wao wametoka kwenye very very poor families na wanapenda kuchuna.
 
Akikuchoka au akipata baby mwenye cheo zaidi na hakutaki tena utaundiwa zengwe la jangiri sugu mpaka lupango!
 
Mi nafahamu adha ya kuoa wanawake ambao wanaishi kwenye mazingira ya kugongewagongewa kufuatana na kazi zao,mf:polisi,Manesi nk. huwa mwanaume anatia huruma sana pale anapoagwa kua naenda night tutaonana kesho asubuhi kwani unakosa kulala nae na vilevile ile hali ya kufulikiria kua huko aliko sijui kama hawamshawishi wamgonge Mara nyingi maaskari wa kike ni chakula cha maafande wa kiume halikafhalika manesi ni chakula cha manesi wenzao wa kiume au walinzi wa zahanati au hospitali bila kuwasahau madaktari ambao huwa zamu na manesi husika.Yataka moyo kuoa wanawake wa kada nilizotaja hapo juu.
 
Timbolo
 
Jiandae kwa ugonjwa wa moyo, raia hawezi kumuoa askari akamapata amani ya moyo, hao wanawezana wenyewe kwa wenyewe, usije ukalia atakapopewa lindo la usiku
 
Chukulia siriazi ushauri unaotolewa kama utani humu maana ndo uliobeba ukweli. Najua ni ngumu kuelewa kwa sasa lakini baada ya miezi michache utakuja utafuta uzi wako humu nakuanza kugonga like kwa ushauri ambao leo unaudislike na kuupita kama huuoni. Polisi si mke wa kuoa; mwanamke yeyote aliye kwenye security unit yoyote hafai ila kama ni kudonate sperm donate tu mkuu lakini kwa kuoa tafuta barmaid unamstaafisha kwa lazima kama umekosa mke wa kuoa.
Kwa polisi hata malaika akijiunga anakuwa malaya kutokana na mazingira ya training yao, mazingira ya kazi na interaction zao na stori zao wawapo vituoni au lindo. Uharaka na shauku ya kupata mkwanja. Wengi wao wametoka kwenye very very poor families na wanapenda kuchuna.
kweli mkuu,mazingira ya kazi yana nafasi kubwa sana kumbadili mtu japo sio wote ila wengi utakuta niwasitarabu kwenye mambo mengine ila katika sex hawajali wapi,malangapi na nani.(hawa atakutamka mambo wanayo fanya kwa kaka zao hawaoni aibu kabisa)

#nimeishi nao nyumba moja kwa muda wa miaka miwili.

Ukija kwa hawa manesi nalo ni swala lingine,

#Mungu akusaidie awe kati ya hao wachache wanao jua nini wanataka.
 
Back
Top Bottom