Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Mkomawatu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
267
118
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.
 
Salaam Wanaukumbi.
Natuma wazima na mnaendelea Salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni Kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana.. Ila kabla ya Hapo hakuwahi kuniambia mapema. Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na Nataka kumuoa nimweke ndani. Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada Hii.
ukubali yote, pamoja na doria za usiku mkuu, ushsuri wangu jiunge judo ili siku akilianzisha utunze heshima.
 
Kila la kheri kijana,ila mchunguze kwa umakini sana kabla ujajipiga pin maana mapenzi ya kada za watu ambao kazi zao zina night shift uwa zinavishawishi vingi so bad ni msichana mabosi zake watampangia nite shift nyingi ili watekeleze ufilauni wao ww ukiwa upo umelala lonely,inshort be care

ukubali yote, pamoja na doria za usiku mkuu, ushsuri wangu jiunge judo ili siku akilianzisha utunze heshima.
 
Salaam Wanaukumbi.
Natuma wazima na mnaendelea Salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni Kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana.. Ila kabla ya Hapo hakuwahi kuniambia mapema. Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na Nataka kumuoa nimweke ndani. Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada Hii.
Hongeraaa mkuu kwa kuzama but kindly trust ur self brother no body else
 
Salaam Wanaukumbi.
Natuma wazima na mnaendelea Salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni Kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana.. Ila kabla ya Hapo hakuwahi kuniambia mapema. Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na Nataka kumuoa nimweke ndani. Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada Hii.
Kama mmependana hakuna tatizo mkuu
 
hivi wewe unapenda kaz yake au unampenda mwenywe jinsi alivyo....
 
Back
Top Bottom