Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

oa tu ila usimchunguze sana maana wanayoyafanya huko depo ni shida
 
Me kuna mmoja alinikamata yani sikufunga mkanda akanisamehe yani tangu siku hyo kawa Rafik Yangu hata nikidakwa nampigia tuu
1471505612185.jpg
 
Unaoa mtu au unaoa upolisi wake?maswali mengne ya kijinga sana.
 
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.
Kumuoa Mwanamke polisi au mwanajeshi ni Risky sana kutokana na mazingira ya kazi zao.

-Hata kama alikuwa mwaminifu sana basi mazingira yanamfanya asitulie.

-shift za usiku akiwa na wanaume au kuhamishwa kikazi mkoa hadi mkoa....Utagongewa hadi uzimie.

-Nakushauri kama unampenda mwachishe hiyo kazi awe mjasiriamali tu.
 
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.
Ni muhimu kama wewe ni mfuasi wa UKUTA achana naye haraka sana
 
Back
Top Bottom