Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.
Umeingia choo cha kike wewe! Polisi! Wacha waoane wenyewe ...
Leo niko lind**** ... itakuweje?
Huko lind****ni ndugu yangu ni balaa tupu ...
 
Ukweli usiosemwa, kuna uonevu mwingi sana huko hasa kwa dada zetu hawa. So akiwa mzuri kugegedeka na mkuu wake sio kazi.
 
Polisi wa kike ni kama mwanamke yeyote yule, wasiwasi ni je zile amri za kijeshi haziaplai kwenye "kuvua"?
 
hamnaga Ku... ya mtu mmoja zote makombo tuu sema ikishapigwa ikioshwa inakua new
Inakuwa "new" kama hujui umechapiwa lini na wapi ila kama unajua kaenda night shift na midume, hapo hata aoshe na JIK, haiwi new.
 
Inakuwa "new" kama hujui umechapiwa lini na wapi ila kama unajua kaenda night shift na midume, hapo hata aoshe na JIK, haiwi new.
ww inakaa ni mshamba wa k yaan k ikichapwa ikioshwa hapo hapo inakua new kijana Ile ni puto linatanuka na kusinyaaa
 
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.

Vyema, Ila jiandae tu kuishi naye Milele maana yake ukimtosa akaanza visasi, itakuwa Tabu. But for me hapa Tanzania na mazingira ya hiyo kazi sitaweza.
 
Wapo poa tu,, mi ninae tena ni wife kabisa hana mchezo ,,na Michepuko ninayo tu na huwa anawakamata tu,, ila baada ya kujua kazi hutoka ndukiii,,,Shida ni kwamba huwezi pata demu jirani kwenu maana wanamwogopa sana ,,,ila kama unapenda Michepuko,,Kingine kazi sio tabia mkuuu owa tu
 
Kimbia kimbia mkimbie huyo. Askari police au mwanajeshi usithubutu kuoa nakushauri kiroho safi.

tafuta mwanamke mwengine oa hata muuza genge yaaani Mkuu kama kweli unaomba ushauri.

ukilazimisha utakuja kuomba tena hapa hapa ushauri.
 
Back
Top Bottom