Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Na maaskari wezake wote wa kike na wa kiume ni mashemeji zako, ukienda kunywa bia police mess lazima uwanunulie na wao
 
Kwenye mafunzo ya upolisi huwa wanafundishwa karate lakini![emoji1]
 
Hapo hilo zigo haumiliki peke yako akienda lindo chakula cha makamanda askar wa kike ni shida kila kamanda anatumbukia.
 
Kuna jamaa angu tulikuwa tuna mtania enzi za utoto, mama na baba yake walikuwa polisi tulikuwa tunamwambia anaishi mahabusu maana anakaa na polisi.
 
Kimbia kimbia mkimbie huyo. Askari police au mwanajeshi usithubutu kuoa nakushauri kiroho safi.

tafuta mwanamke mwengine oa hata muuza genge yaaani Mkuu kama kweli unaomba ushauri.

ukilazimisha utakuja kuomba tena hapa hapa ushauri.
hahahaaaa!kabisa yaani!
Askari mitihani sana
Nna kiss cha mfanyakazi mwenzangu mmoja dahh!ni nomaà...!
Wale wanaoana wenyewe kwa wenyewe!
 
Mkuu.....
Ukitegemea kufundishwa jinsi ya kuishi na mtarajiwa wako, basi ujue huo ndio mwanzo wa kuivunja kwa mikono yako wewe mwenyewe.
Hakuna sehemu ilio andikwa kwamba kuna formula za kuishi na mwenza ndani ya nyumba.
Kama kweli umepmenda, muombe Mungu akupe wepesi wa hekma na busara ili muishi kwa amani na upendo
 
hahahaaaa!kabisa yaani!
Askari mitihani sana
Nna kiss cha mfanyakazi mwenzangu mmoja dahh!ni nomaà...!
Wale wanaoana wenyewe kwa wenyewe!
yaani wale hawafaiiiii hata buree, huyu kijana mwenzangu namhurumia
 
Watu wapo busy kumtisha dogo nadhani anajuta kuleta suala lake hapa. Uzinifu ni hulka ya mtu na sio kazi yake ndo maana utakuta mabint kwao mambo Safi ila wanagongwa kichizi so kama mmependana na umemsoma japo kiduchu tabia maana binadamu kwa ghilba na kujifanyisha (pretender )hatujambo basi fumba macho upige goti au mpandishe penye altare kila la kheri.
 
Watu wapo busy kumtisha dogo nadhani anajuta kuleta suala lake hapa. Uzinifu ni hulka ya mtu na sio kazi yake ndo maana utakuta mabint kwao mambo Safi ila wanagongwa kichizi so kama mmependana na umemsoma japo kiduchu tabia maana binadamu kwa ghilba na kujifanyisha (pretender )hatujambo basi fumba macho upige goti au mpandishe penye altare kila la kheri.
hakuna anaemtisha, ameomba ushauri na amepewa swala la maamuzi liko chini yake ila wadau wamefunguka wamemwambia hao watu sio kabisa
 
Habari! Cha kwanza Ktk kila jambo unalotaka lifanyia maamuzi mshirikishe Mungu kwanza, Moyo hupata husia kali sana za Kupenda na ndio hupata Maumivu makali sana ukimizwa.

Sent from my Lenovo A5000 using JamiiForums mobile app
 
jipange kielimi nafsi (kisaikolojia)......mapenzi si mgando angalia muktadha....kuona ni mkataba wa hiyari lakini kabla ya kiruka agana na nyonga....kila la heri.....! anzia hapo...!

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom