Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,762
- 6,591
UKUTA UNANGOJA KUKUANGUKIA WEWE NA Polisi jamii WAKO. ASIKUDANGANYE HUYO PIMBI, YEYE SIO Polisi NI Polisi jamii
you are under-arrest from now and i wil catch you anytymUKUTA UNANGOJA KUKUANGUKIA WEWE NA Polisi jamii WAKO. ASIKUDANGANYE HUYO PIMBI, YEYE SIO Polisi NI Polisi jamii
Hii lugha hii dah !you are under-arrest from now on i will hunter and catching you anytime
hebu andika weweHii lugha hii dah !
Nilipataga demu mmoja baadaye nikaja kuhisi ni usalama aisee nilitoka nduki haraka sana... Ndani ya siku chache nilikumbana na changamoto nyingi sana!Chukulia siriazi ushauri unaotolewa kama utani humu maana ndo uliobeba ukweli. Najua ni ngumu kuelewa kwa sasa lakini baada ya miezi michache utakuja utafuta uzi wako humu nakuanza kugonga like kwa ushauri ambao leo unaudislike na kuupita kama huuoni. Polisi si mke wa kuoa; mwanamke yeyote aliye kwenye security unit yoyote hafai ila kama ni kudonate sperm donate tu mkuu lakini kwa kuoa tafuta barmaid unamstaafisha kwa lazima kama umekosa mke wa kuoa.
Kwa polisi hata malaika akijiunga anakuwa malaya kutokana na mazingira ya training yao, mazingira ya kazi na interaction zao na stori zao wawapo vituoni au lindo. Uharaka na shauku ya kupata mkwanja. Wengi wao wametoka kwenye very very poor families na wanapenda kuchuna.