Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

Thanx kwa mchango wako mamii,tatizo ni night shift hazifai ,yaani mwanaume unakumbatia mto na baby yuko doria,hapo usingizi hauji hasa ukifikiria daah jamaa huko watamsalimisha kweli?.
Nadhani tatizo sio sio kazi ni wivu,na kumuonea wivu mkeo/mumeo ni haki uako lakini usi ku over rule mpaka ukasahau kumuamini,mwanamke akitaka kufanya lake hata umfungie ndani umpe kila kitu kama akiwa Dege pori hawezi kubadilika.
 
Hata kwa karandinga sioi Polisi labda awe na cheo kuanzia inspector maana hataenda doria afu kunakuwa na kaheshima Fulani toka kwa askari wengine.

Ushauri: mkuu tafuta mwalimu au Nesi,Oa utaishi kwa Amani sana.
 
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.

sasa wewe unataka ushauri gani aisee

mapenzi ni fursa ya upendo
kama mmependana basi malizana naye
 
Nadhani tatizo sio sio kazi ni wivu,na kumuonea wivu mkeo/mumeo ni haki uako lakini usi ku over rule mpaka ukasahau kumuamini,mwanamke akitaka kufanya lake hata umfungie ndani umpe kila kitu kama akiwa Dege pori hawezi kubadilika.
Hahahaaaa hiyo DEGE PORI imenisuuza roho yangu mamii,yaani una hekima sana,ila ni lazima ukubali mwanamke akiachiwa sana uhuru ni rahisi kudanganywa na kufanya mambo nje.
 
Sio mazuri kabisa,maana ni dhahabu,ukiacha dhahabu wazi wazi bila kuificha utaibiwa mkeo mchana kweupe.
Unaelekea una wivu sana bwana weye lol,mfiche lakini sio sanaa akakukosesha raha au akakukondesha,nadhani maelewano ndio kila kitu na mume/mke hamtakiwi kua ni hivyo tuu mume na mke mnatakiwa kua friends,wapenzi,na wazazi,kuna wanaume wengine ni wakali kwa wake zao mpaka unshanga huyu anapata wapi nafasi yakucheka na mkewe akirejea home
amani hakuna watu wanaomba anaondoka saangapi,mie mume style hiyo mbona angesha niwacha zamani...
 
Sio wivu peke yake mamii,yaani nina kijiba cha roho coz nilwahi kuumizwa na mwanamke wangu wa kwanza,sikuamini kama wanawake wana akili za kitoto hivyo,niligundua demu wangu anachukuliwa na kijitu kina sura kama panya tena hakina afya dhaifu na hata kipato hana,ni sawa sawa nguruwe ampande farasi,nikamfukuza yule malaya na nikapata mzuri kuliko yeye,mpaka leo yule msaliti amerukwa na akili,yaani amekuwa kama mwehu na amekuwa mchafu mpaka anatilisha huruma,sio kosa lake ila alirubuniwa.
 
Askari?? Lazma uchapiwe we oa lkn angalia usijiue
Katika Maisha usipende kuwaharibia wenzake..ivi wamama wangapi wanaoshinda nyumbani wanaochapwa Na wauza Genge wapaka Rangi au wabeba Taka..Narudia tena Uhuni Ni MTU mwenyewe..Wengi maofisi wanachapwa ukweli upo..Unataka kumkosesha Mdada wa Watu mume kwa perception zenu Basi..Oa tu anafaa.Kazi Ni kazi..unaweza ohopa ushauri wa Watu humu unaenda oa wa Ofisini au Dada wa nyumbani ukaja kumkumbuka..Moyo Machine!
 
Salaam wanaukumbi,

Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema.

Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana binti huyu na nataka kumuoa nimweke ndani.

Naomba ushauri wenu na nasaha zenu namna ya kuishi vizuri na watumishi wa kada hii.
Ndugu yangu nakupa ushauri wa buree, Polisi, Askari jeshi, Nesi.., hawa sio watu wa kuowa. Angalau nesi, lakini mtu yoyote anayeanza na Askari, acha kabisa. Ndugu yangu sumu haionjwi.., Nakupa miezi sita tu halafu njoo utanipa feedbacks.
 
Sio wivu peke yake mamii,yaani nina kijiba cha roho coz nilwahi kuumizwa na mwanamke wangu wa kwanza,sikuamini kama wanawake wana akili za kitoto hivyo,niligundua demu wangu anachukuliwa na kijitu kina sura kama panya tena hakina afya dhaifu na hata kipato hana,ni sawa sawa nguruwe ampande farasi,nikamfukuza yule malaya na nikapata mzuri kuliko yeye,mpaka leo yule msaliti amerukwa na akili,yaani amekuwa kama mwehu na amekuwa mchafu mpaka anatilisha huruma,sio kosa lake ila alirubuniwa.
Unajua wanaumme hua wana moyo dhaifu sana sababau unavyo lalamika kama umekatiliwa moyo,kumbuka Mapenzi hayajali pesa as long as moyo unapenda hautaki kujua kama jamaa mzuri msafi wala nini,mpaka yakufike ndio unajiuliza kwani nilifata nini hasa kwa kituko hiki lol..lakini msamehe bure huenda huja muonyesha kama uko serious na yeye..
 
Mapenzi niliompa mpa Mungu shahidi na hata walimwengu waliokuwa wametuzunguka wakati niko nae,kosa niliofanya ni kumuachia uhuru 100 percent,yaani gari nimemfundisha,nikamnunulia gari yake nzuri kupita maelezo,alivaa jeans,na attire zote unazozijua wewe (designers),every big brands of cosmetics,pedicure and manicure from the best high streek known beauticians,gymnastic equipment at home (indoor gym),holiday kila 3 months tena to the finest spots and resorts.Kifupi nilimpenda kuliko nafsi yangu na alijua hilo vizuri sana,cha ajabu na kusikitisha gari niliomnunulia ndio ilikuwa inampeleka kufanya uchafu,alikuwa anaenda kwa jamaa nyumba chafu tena slum,gari wanaifunika na turubali isijulikane,alioyafanya nashindwa ku imagine inawezekana hata tigo aligawa.Haya sasa mamii jiweke kwenye nafasi yangu,je wewe ungefanya vipi?.Hii ni true na sio habari ya kutunga na tukio hilo limenifanya niwe mgonjwa wa akili kwa kiasi fulani mpaka leo napigana na hiyo trauma.
 
mmh,pole sana i can undestand.
 
Back
Top Bottom