Nimezaa na mke wa Mtu

Kwa usalama wa maisha yako sahau huyo mtoto na sahau kama ulilala na huyo mwanamke. Ukijifanya kiherehere na connection ya mtoto utahatarisha maisha yako na ya huyo mpenzi wako.
Kumbuka hakuna mwanamme atayekubali mkewe kukojolewa na mwanamme mwingine.
Yaani unacheza na moto wewe!
 
Wala usianze kufikiria mawazo hayo...

Kwanza kinachokufanya uweweseke ni nini?

Kama ulikuwa huitaji mtoto kwa nini ulidinyana pasipo na kinga?

Kwanza umejuaje hiyo mimba umesababisha wewe ilihali huyo ni mke wa mtu?

Mwanaume yoyote makini huwa hachomeki tu hovyo komeo lake kwa mwanamke....huwa anatambua kwanza mfumo wa mwanamke.

hili jambo watu huwa hawalizingatiiii sana hasa wakikutana watu wazima......ila hii inaonyesha kiasi gani DUME KONDOMU wanasafari ndefu na kampeni zao
 
Mkuu,Mwanamke ndiye anaeweza kujua mimba ni ya nani.....Kwangu mimi naona hana sababu ya kunidanganya kwamba mimba yangu na wakati si yangu.....Ila ana sababu ya kumdanganya mumewe


Wakulu, hapo suala si kuhoji amejuaje...!!

Hii kitu inafikirisha sana... mtu ana watoto tayari na bado anataka kuzaa nje...kisa AMEKUPENDA...

" ....nimekupenda nataka nikuzalie..."
 
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.

Tindikali inahusu!! by the way how sure ur ni mtoto wako?
 
Kenge mno...yaani huyo mke nakuachia lasivyo ni pemkeo naye nimpige dudu...
 
Mimi nahisi hauko makini na maisha yako. Mnaweza kuachana na msichana tanguvsekondari halafu ufanye naye bila kinga?
kinachokuumiza kichwa hadi ukusudie kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni nini? Umeshasema mama yake yuko vizuri nakushauri uachane na hilo la kuua/kutoa mimba kabisa kwani utakuja kuijutianmilele.

Acha maisha ya songe ila kumbuka, wanaume wenzako hawaendi hivyo, utakufa kwa ngoma! Ukipewa wewe usifikiri ni wewe peke yako, umeshajiunga Kwenye mtandao hivyo......
 
Back
Top Bottom