Nimezaa na mke wa Mtu

Nimezaa na mke wa Mtu

kaaaazi kweri kweri, Matangazo yote hayo DUME wanayoyatoa bado unakwenda pwekupweu tu?


ama mda wa hilo tangazo lako huwa unvaaga miwani ya mbao nini?



 
kaaaazi kweri kweri, Matangazo yote hayo DUME wanayoyatoa bado unakwenda pwekupweu tu?


ama mda wa hilo tangazo lako huwa unvaaga miwani ya mbao nini?




Haha...DUME Ilipasuka
 
kumbe kuna wanaume wanapend watoto?mwache azaliwe utajua kam wako kweli na kam alivyokwambia anatak damu yako itabid umshauri amwambie mmewe alitak damu yako tu
 
Watoto wa hivyo ni wengi najua kila familia wapo hata kama mtakataa. Toa msaada pale atakapotaka.
 
we ubapepo utazaaje na mke, je mtu akizaa na mtu akizaa na mke wako? unahtaji kutubu na kumwomba msamaha ulo mkosea
 
Acha kutunga au andika vizuri.

Umezaa vipi na mke wa mtu wakati unadai mmekutana na kujamiana nae miezi mitatu iliyopita...mtoto gani anazaliwa miezi mitatu?

Pili unajuaje kama ni ww au mumewe muhusika?

Tatu, mke wa mtu ni sumu, kuna kuingiliwa kinyume cha maumbile ,kuna tindikali ,hata kifo.....utakuwa mdomo wazi jipakazie ujinga tuu
 
Naona Freeland hapa unajifunza kutunga story. Ni mwanzo mzuri jitahidi kukiendeleza kipaji chako utafika mbali hata kiasi cha kutunga vitabu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hata kama kusoma hujui kijijini kwenu hakuna walau vikundi vya kuhamasisha kuacha ngono zembe? Leo unatuambia umezaa na mke wa mtu japo kwenye maelezo yako ya ndani unasema umempa mimba ambayo hata hivyo huwezi kutuaminisha pasi na shaka kwamba ni yako!
Onesha uaminifu tena kwa kuanzisha uzi mwingine kwamba 'nimetembea na mke wa mtu kaniambukiza UKIMWI' kisha uje tukushauri!
 
Yaani wewe hauna tofauti na wale wadada wanakuja kuomba ushauri wamelala na waume za watu (ila wewe it's worse).Nyinyi adhabu yenu ni moja tu.

Swali moja kwako: Ukishaoa mkeo akakuletea mtoto asiye wa kwako utafurahi? Acheni kufanya mambo kama vile HAMTA OA au KUOLEWA.Tafakari chukua hatua!
 
we ni lituko... yani umeshafanya uchafu wako na mke wa mtu ndo tukushauri mi naona usubiri mavuno ya ulichopanda.azinie na mke wa mtu hana akili kabisa siku nyingine omba ushauri kabla ya kufanya kambo
 
....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....

Una uhakika gani kama wewe ndiye uliyesababisha huo ujauzito? Kwa kiasi fulani Mama ndiye anajua na hata yeye anaweza asijue kama aligawa pipi kwa watu wanne kwa siku 3 mfululizo..Jiulizeni mko wangapi?

Ushauri wangu..kaa kimya..huyo sio mke wako..kama ulibahatika kuonja..hiyo ndiyo share yako si zaidi ya hapo..
 
we ni lituko... yani umeshafanya uchafu wako na mke wa mtu ndo tukushauri mi naona usubiri mavuno ya ulichopanda.azinie na mke wa mtu hana akili kabisa siku nyingine omba ushauri kabla ya kufanya kambo
 
Back
Top Bottom