afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
Mpe tena
Nina popcorn hapa karibu...tusubiri wote mrejesho.Panahitajika mrejesho hapa....
Ngoja nivute kiti kabisa
Kwa style hii nitasubiri sana kuoaHana sababu? Kwa hiyo na mmewe atamuambia mimba si yake bali ni yako?
Kama anaweza kumdanganya mmewe, we ni nani asikudanganye?
Mke wa mtu anayetoka nje ya ndoa mpaka anapata mimba huyo ni malaya. Period!
Mchunguze sana hiyo mimba anaweza akawa kawauzia wengi tena labda kwa makubaliano na mmewe ili watengeneze hela. Nimeishi miaka mingi nimeshuhudia mengi.
Kazi ni kwako!!!!
Nahisi hata familia yako.Watoto wa hivyo ni wengi najua kila familia wapo hata kama mtakataa. Toa msaada pale atakapotaka.
Mwenzangu huo mrejesho sijui unakuja na baiskel ya mti!Nina popcorn hapa karibu...tusubiri wote mrejesho.
hzi mambo siku hzi mi nyingi mkuu mm rafki yangu ilimtokea km hvyo ila yeye aliyempa mimba hakuwa mke wa mtu bali jamaa anaishi na mwanmke tu na wameshazaa mtt mmoja mtt wa pili ni wa rafiki wamefanana na mtt sanaaaa ukiona huuliziuna uhakika kwamba ww ndo baba wa mtoto au amekwambia tuu na ww umekamatia hapo hapo
Kwa hiyo???
Waulize wakurya ukizaa na mke wa mtu aliyelipiwa mahari unatakiwa u-behave vipi.
Mwanao atakua nasari sio.Hahahaha....Acha hizo mkuu