Nimezaa na mke wa Mtu

Nimezaa na mke wa Mtu

Nawe maswali gani hayo ya kitoto?

Muulize kajuaje kama ni yake?

Afu umuulizena anajua wako wangapi?

Mkuu @Aspirin mwanamke ndiye anayejua mimba ni ya nani kati ya hao wangapi ........Pia hana sababu yoyote ya kunidanganya mimi kwamba mimba ni ya kwangu ilihali sio yangu........Sina sababu ya kusema kwamba ananidanganya......
 
look here majigo hana sababu yoyote ya kuniambia mimba ni ya kwangu kama sio yangu.kimsingi haitaji msaada wowote kwangu...ana uwezo wake mzuri sana kimaisha...kwa hio hana sababu ya kunidanganya mimi......ila ana sababu ya kumdanganya mme wake.

hapooo kwenye red ..naingiwa na mshangao mkubwa tuu...kwanini unalalamika ukiashiria woga kwa kuzaa naye...she seems to be independent woman and ready to raise your baby..why worried then...jichukulie ume-gawa mbegu tuu...kama any other sperm donor....

Just order a packet of pop-corn adjust your seat open your eyes and watch out your best movie....

Dogo kama nakuona vile "maryooooooo" .....umejilipuwa kwa mama kubwaaaaa...pole lakini ndio u-ana-ume huooo.
 
Look here Majigo hana sababu yoyote ya kuniambia mimba ni ya kwangu kama sio yangu.Kimsingi haitaji msaada wowote kwangu...ana uwezo wake mzuri sana kimaisha...Kwa hio hana sababu ya kunidanganya mimi......ila ana sababu ya kumdanganya mme wake.
hapo kubali kumzalishia mume mwenzio tu...we c ulpga kavu...alafu kapme ukimwi ujue kama uko salama !
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaaaaaaaa..

Dogo una-uhakika gani kuwa mimba ni yako?...kama ni ya mumewe yeye kakuambia ni yako unajuwaje?...na kwanin hukuvaa au kumvisha yeye ndomu?...mulilima wote mukapanda wote sasa jiandaeni kuvuna wote..usimletee mambo ya joto hasira hapa.

Pia kuhusu huyo mtoto kuzaliwa na wewe kukosa koneksheni na "mwanao"..tatizo nini?...subiri majirani watamwambia huyo mtoto kuwa wewe ni babake then akikufuata mpe pesa ya matumizi na mwambie amwambie babake mlezi kuwa wee ndio biological father wake.

Pia ukiona ni mbali saaaaaana kusubiria connection na mwanao kijachoooo...mwambie huyo mwasherati mwenzio kuwa "unamwambia mumewe wa ndoa kuwa mkewe ana mimba yako kama vip akuachie mkewe ulee mimba yako akizaa uchukuwe mwanao yeye abaki na mkewe au kaa vipi amwambie mkewe atoe mimba yako mapema kuepusha usumbuvu baadae.

Ukishindwa vyooooooteeee...futa namba yake ya simu, badili namba yako na email adress zako kisha hama mkoa au nchii kisha anza upya maisha yako.

Full of options ..you choose the best for you.

Ahahahaaa..thanks again.

Duh mkuu hizi nondo balaa......I will choose the best for me.....Ila nin uhakika hadanganyi coz hakuna sababu ya kudanganya
 
Kitanda hakizai haramu bwana. Uhakika kuwa mimba ni yako ni nini? Au mumewe hayuko? Akili kwa kichwa.

Mambo ya enzi za vitanda vya kamba hayo!!!!! As you have laid it down "akili kumkichwa"
 
hapooo kwenye red ..naingiwa na mshangao mkubwa tuu...kwanini unalalamika ukiashiria woga kwa kuzaa naye...she seems to be independent woman and ready to raise your baby..why worried then...jichukulie ume-gawa mbegu tuu...kama any other sperm donor....

Just order a packet of pop-corn adjust your seat open your eyes and watch out your best movie....

Dogo kama nakuona vile "maryooooooo" .....umejilipuwa kwa mama kubwaaaaa...pole lakini ndio u-ana-ume huooo.
Who Cares? Ishu kubwa kwangu ni kwamba ntakuwa najua ni mtoto wangu lakini ndo hivo yuko kwenye mamlaka ya baba mlezi...Ntahitaji kumtunza na yeye anifahamu...that will be tricky...About yeye kulelewa na mama yake hilo sina shida nalo.............Sperm donor?????? looks talkable but not actionable.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu @Aspirin mwanamke ndiye anayejua mimba ni ya nani kati ya hao wangapi ........Pia hana sababu yoyote ya kunidanganya mimi kwamba mimba ni ya kwangu ilihali sio yangu........Sina sababu ya kusema kwamba ananidanganya......

Amka usingizini.dogo watu wanakana uraia itakuwa wewe kuambiwa mimba yako???!!!!!!Tena kwa maneno matupuuuuu no evidence!!!!!

Ushasema desperate sasa unashangaa nini?????
We umechukuliwa mateka kwa matumizi binafsi ya mwanamke huyo!!!!!!Ha ha haaaa dirsha dogo la usajili kwa mkopo
 
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.
Dah hata sijui nikwambie nini?huyo mwanamke hana akili na wewe ndio ----- zaidi,utalalaje na mke wa mtu bila kinga?Kuna makosa ya kuepuka na hili ungeliepuka kirahisi sana...I feel sorry for the husband maana atapata pigo la uhakika...
Kama walivyosema wengine huwezi kuwa na uhakika 100% kama huyo mtoto wako madhali huyo mwanamke ameolewa inabidi usubiri mpaka azae ili ujue kama ni wako au lah!
 
Duh mkuu hizi nondo balaa......I will choose the best for me.....Ila nin uhakika hadanganyi coz hakuna sababu ya kudanganya

Naona bado unaendelea kujipa moyo kwa kuwa umezuilia ufahamu wako kupambanua nje ya boksi.

Kaa chini ujiulize, sababu pekee ya kutaka mimba nawe ilikuwa tu ni kutafuta damu yako?

Je huoni kama kupata mimba imekuwa ni tego la kutaka kuvunja ndoa yake ili aishi nawe kwa kisingizio cha mtoto?
 
who cares? ishu kubwa kwangu ni kwamba ntakuwa najua ni mtoto wangu lakini ndo hivo yuko kwenye mamlaka ya baba mlezi...ntahitaji kumtunza na yeye anifahamu...that will be tricky...about yeye kulelewa na mama yake hilo sina shida nalo.............sperm donor?????? Looks talkable but not actionable.....

hapooo kwenye red...umtunze kwa kipi wakati mamake yupo njema tena unakiri hilo mwenyeweee...kukufahamu sio ishuuu..atakufahamu na shkamoo makelele utayapata tuuu...ila ndio hivyo...au kama vipi muambie amuue mumewe wa ndoa ukaishi naye ulee mwanao..ahahahaaaa
 
Wala usianze kufikiria mawazo hayo...

Kwanza kinachokufanya uweweseke ni nini?

Kama ulikuwa huitaji mtoto kwa nini ulidinyana pasipo na kinga?

Kwanza umejuaje hiyo mimba umesababisha wewe ilihali huyo ni mke wa mtu?

Mwanaume yoyote makini huwa hachomeki tu hovyo komeo lake kwa mwanamke....huwa anatambua kwanza mfumo wa mwanamke.

Mkuu ifanyie research kidogo hii kauli yako...!
 
Naona bado unaendelea kujipa moyo kwa kuwa umezuilia ufahamu wako kupambanua nje ya boksi.

Kaa chini ujiulize, sababu pekee ya kutaka mimba nawe ilikuwa tu ni kutafuta damu yako?

Je huoni kama kupata mimba imekuwa ni tego la kutaka kuvunja ndoa yake ili aishi nawe kwa kisingizio cha mtoto?

Thank you so much...You opened my mind
 
Waulize wakurya ukizaa na mke wa mtu aliyelipiwa mahari unatakiwa u-behave vipi.
hahahahaaa....

kweli wanatakiwa wakutane na wakurya naona wanafanya mchezo yeye na demu wake, eti kademu kanasema kanataka damu yake!
 
Amka usingizini.dogo watu wanakana uraia itakuwa wewe kuambiwa mimba yako???!!!!!!Tena kwa maneno matupuuuuu no evidence!!!!!

Ushasema desperate sasa unashangaa nini?????
We umechukuliwa mateka kwa matumizi binafsi ya mwanamke huyo!!!!!!Ha ha haaaa dirsha dogo la usajili kwa mkopo

Loh.....matumizi binafis ndo yapi hayo?
 
Nasikia kuna uwezekano wa mtu kupewa dawa ambayo itasababisha mimba kuharibika"""

Yaani umempa mimba mke wa mtu, na kana kwamba hiyo haitoshi na sasa unataka kuua? Tena damu yako mwenyewe?!
 
hapooo kwenye red...umtunze kwa kipi wakati mamake yupo njema tena unakiri hilo mwenyeweee...kukufahamu sio ishuuu..atakufahamu na shkamoo makelele utayapata tuuu...ila ndio hivyo...au kama vipi muambie amuue mumewe wa ndoa ukaishi naye ulee mwanao..ahahahaaaa

Hiyo option yako ya kuua sio salama mkuu...na haifai...hahaha.......Nasikia kuna medics zinaweza kuharibu hiyo kitu.....coz yeye hataki kuitoa hii mimba...its confusing
 
Yaani umempa mimba mke wa mtu, na kana kwamba hiyo haitoshi na sasa unataka kuua? Tena damu yako mwenyewe?!

Okay HorsePower...najua nimeshaharibu mambo hapa...ndo maana naomba ushauri kwenu.....
 
Last edited by a moderator:
Badala ya kusubiri wewe unanga'ngana yako, akifyatua mchina utamkana????????????
 
Back
Top Bottom