Nimezaa na mke wa Mtu

Nimezaa na mke wa Mtu

huyo mke wa mtu anacheza na akili yako na wewe unakubali kuzidiwa kete,unauhakika gani kama mtoto ni wako? je kama sikuile alilala na wewe na baada ya hapo akalala na mumewe? sikia KAKA huenda yeye pia hajui mimba ya nani,na wewe jamani hujipendi ivi mtu anakuvulia nguo bila kinga na unafurahia nakuisikilizia utamu unakuwaje mbona sielewi?
 
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.
Ushauri wangu ni kuwa '' ANZA KUTEMBEA NA KY JELLY KUEPUKA MICHUBUKO KUTOKA KWA MASELA ENDAPO SIKU IKIFIKA KULIPIA UPUUZI WAKO''
 
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.
Nenda kwanza katubu mbele ya mungu wako ndio uje upate ushauri hapa.
 
Back
Top Bottom