Nimezaa na mke wa Mtu

Nimezaa na mke wa Mtu

Wewe waswas wako nin?ulivyokuwa unazimwaga ulikuwa hujui hilo? Unapanda mwenyewe mbegu alaf unaogopa kuvuna!mh! Sa sijui huyo mtoto atakayezaliwa atapewa ubin gani mmh nashndwa kuimagine!
 
hiyo option yako ya kuua sio salama mkuu...na haifai...hahaha.......nasikia kuna medics zinaweza kuharibu hiyo kitu.....coz yeye hataki kuitoa hii mimba...its confusing

kumbuka pia hizo medics zaweza kumuua pia mama mjamzito....soo you are redy to kill your babay..your own blood...and possibly your "wife"...but scared to kill her husband...the only threat for you to be and live happy life with your "wife"????

Dogo fanya maamuzi magumu sasa.....muda sio rafiki wa mwanadamu na hasa goigoi wa kufanya maamuzi ya busara.
 
mwanamke akiwa na mimba , ndiyo tayari umeshazaa naye?

mwanamke akiwa na mimba , tayari inakuwa ni mimba yako?
 
Sijawahi Ona mpugaji mimba anahaha badala ya mpigwaji mimba. This is a new era, with new ways of thinking.
 
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.

Poa tu jembe we potezeawe tu coz mwenyewe huna uhakika kama watoto unaolea na mkeo ni wako, au kama hujaoa jipange utalea tu watoto wa wenzio
 
Duh mkuu hizi nondo balaa......I will choose the best for me.....Ila nin uhakika hadanganyi coz hakuna sababu ya kudanganya

Hana sababu? Kwa hiyo na mmewe atamuambia mimba si yake bali ni yako?

Kama anaweza kumdanganya mmewe, we ni nani asikudanganye?

Mke wa mtu anayetoka nje ya ndoa mpaka anapata mimba huyo ni malaya. Period!

Mchunguze sana hiyo mimba anaweza akawa kawauzia wengi tena labda kwa makubaliano na mmewe ili watengeneze hela. Nimeishi miaka mingi nimeshuhudia mengi.

Kazi ni kwako!!!!
 
Ningekuwa ni mie umeniti mimba, ningekutolea mahari. Hakika unafaa kuwasmall hausi, unatetemeka kabla ya tukio, adabu mbele kama tai. Safi sana, unatakiwa kuwa na woga kwa mume mkubwa.


Shake! Shake! Freeland Shake! SHake! Very soon you will be 'Paidland', not free anymore.🙂

Mkuu,Mwanamke ndiye anaeweza kujua mimba ni ya nani.....Kwangu mimi naona hana sababu ya kunidanganya kwamba mimba yangu na wakati si yangu.....Ila ana sababu ya kumdanganya mumewe
 
Hana sababu? Kwa hiyo na mmewe atamuambia mimba si yake bali ni yako?

Kama anaweza kumdanganya mmewe, we ni nani asikudanganye?

Mke wa mtu anayetoka nje ya ndoa mpaka anapata mimba huyo ni malaya. Period!

Mchunguze sana hiyo mimba anaweza akawa kawauzia wengi tena labda kwa makubaliano na mmewe ili watengeneze hela. Nimeishi miaka mingi nimeshuhudia mengi.

Kazi ni kwako!!!!

Atamdanganya mme wake kwa sababu yupo katika himaya yake......Mimi hawezi kunidanganya kwa sababu atakuwa anataka nini sasa? Kwa sababu kama ni uwezo wa kihela anao mkubwa tu...probably zaidi yangu......

Otherwise nakubaliana na wewe kwamba ni malaya kwa sababu la sivyo asingefanya mapenzi na mimi.....Lakini kumbuka ni mtu anaenipenda kwa mda mrefu...huwezi kujua power ya mapenzi iliyo ndani yake............
 
Ningekuwa ni mie umeniti mimba, ningekutolea mahari. Hakika unafaa kuwasmall hausi, unatetemeka kabla ya tukio, adabu mbele kama tai. Safi sana, unatakiwa kuwa na woga kwa mume mkubwa.


Shake! Shake! Freeland Shake! SHake! Very soon you will be 'Paidland', not free anymore.🙂
Kongosho,Sina uhakika kama umenielewa concern yangu ni ipi katika ishu hii nzima.....Concern yangu kubwa iko kwenye statement ya mwisho kwenye original thread yangu "Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa" Sasa sema katika hilo....Pia unatakiwa ujue kwamba sikatai fact kwamba ni kosa nimefanya kumpa ujauzito mke wa mtu....but thats how we learn...and we learn from people like you
 
Last edited by a moderator:
Mtenda jamala hulipwa jamala we tulia tuliii subiri malipo yako tu,
 
Back
Top Bottom