Hahaha 😂, muhudumu akimpa kinywaji kingine utasikia 'jamaniii we mkakaa'.Mwanaume anafika anasema nipe Ile tamuuuu
Sio dhambi tu ni dhambi ya usariti!Ni dhambi kutokunywa?
Kwani inawezaje kulipiza kisasiUwe makini isikulipizie kisasi ulipoiacha, na huwa inaanza taratibu kukuaminisha upo in control
That's cool, I'm proud of yahMara ya mwisho kunywa alcohol (katika pombe) ilikuwa Champagne ya kukaribisha mwaka mpya January 1 2024.
So I have been alcohol free for two years now.
DuhUtaanza kuwa mbea na snitch Sasa.
HONGERA...Mimi hadi viwanda vya pombe vifungwe vyoteHabari wadau.
Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina zote za dukani na kienyeji.
Nimelewa Toka 2010 mpaka 2022 nimeacha. Mali zimekwisha ila Mimi nipo hai na salama.
Nimeanza upyaaaaaaaa nikiwa na amani tele.
Asante Sana JamiiForums.
Kwan pombe inafaida ganiNdo wanaanza kusema tamuuuu
Amen.