Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Daaah mkuu Tized kang'oa hivihivi tunamuangalia
 
Last edited by a moderator:
ahhh sasa DA mbona umekuwa na haraka hivoooo?? umeshindwa kunisubiri aisee turudi wote, mimi nimebakiza kama ekeri mmoja hivi ya mahindi na mm nirudi town, leo nimekuja dareda mjn kununua magunia ndo maana nimekaotea ka network bhana.....
NWY; wasalimie hasa hasa mke mdogo wa Mr Rocky.(miss chagga)
 
Sikujua kama na wewe upo huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom