Mmeenda kumalizia utamu pm sie twatoa macho hapa emu rudini hapa toka uko pm!.
Sawa dada nashukuru kwa kunitia moyoWala usijali bibie Mr.rocky hajakukataa saizi ni akili yake tu kucheza vizuri asikukwaze wewe wala bimkubwa! Na bmkubwa wako yuko peace sana ondoa hofu.
Ha ha ha umeshituka eeehh ha ha mjanja sana wewe
Hahaaaaa majina yote utaita mara tutasikia shikamoo uncle. ...
acha tu naogopa kupigwa naona anatoa povu
Hahaaaaa mtafutie maziwa mwenyewe namwona yuko mbioni kuchafua hali ya hewa hapa ngoja nipite...
Mwanangu jihadhari sana na huyu nwanamke.....si mwema
hakuna povu wewe mwoga sana eeehh umetishiwa kidogo tu ushaogopa??? Tulia bana
aya kwa hiyo niendelee na mume wangu
nasikia mzee wa miamba usiku kucha alikuwa analia.
Atashinda nae lakn usiku lazima arudi kwangu shida nini??