Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Mr Rocky mume wangu we ndio wa kunikana hivi moyo wangu jamani mie.... mmmmmh iiiiiiiii jamani mie yeleuwiii.....Dena Amsi unatakumchukua mume wangu jamni...mashahidi wangu Ntuzu, mwallu,mwekundu,
user-online.png
Tized, kiwatengu ndio alikuwa mwandishi wa habari mwee mwee .... Honey Faith naomba umsalimie kaka yako Ntuzu mwambie baba yangu namsalimia sna na yule ng'ombe mweupe kazaaa tunakunywa maziwa.....janeth1 nakumbuka ulikuwa unapita pita huku unaguna sikuelewa.....

Mr Rocky wewe siyo wakunifanyia hivyo mwee mwee mwee
 
Last edited by a moderator:

Wewe kuwa na adabu mumeo nani??? Tena ishia hapo hapo kabla sijakupandia PM
 
Asante kwa mahindi dear Dena Amsi.

Hapo ndipo napokupendea kwa kuzunga... Mr Rocky atavimba kichwa weee... wenzie twafaidi. Twende zetu PM dearest
hapa wapambe wengi sana.
kiwatengu, shem shansarie janeth1, mwallu Ntuzu muwe na amani pambano limeshaisha siku nyingi hili, mambo yote tushamalizaga PM.

Mmeenda kumalizia utamu pm sie twatoa macho hapa emu rudini hapa toka uko pm!.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mume wangu we ndio wa kunikana hivi moyo wangu jamani mie.... mmmmmh iiiiiiiii jamani mie yeleuwiii.....Dena Amsi unatakumchukua mume wangu jamni...mashahidi wangu Ntuzu, mwallu,mwekundu,
user-online.png
Tized, kiwatengu ndio alikuwa mwandishi wa habari mwee mwee .... Honey Faith naomba umsalimie kaka yako Ntuzu mwambie baba yangu namsalimia sna na yule ng'ombe mweupe kazaaa tunakunywa maziwa.....janeth1 nakumbuka ulikuwa unapita pita huku unaguna sikuelewa.....

Mr Rocky wewe siyo wakunifanyia hivyo mwee mwee mwee

Wala usijali bibie Mr.rocky hajakukataa saizi ni akili yake tu kucheza vizuri asikukwaze wewe wala bimkubwa! Na bmkubwa wako yuko peace sana ondoa hofu.
 
Last edited by a moderator:
Ukijileta mwenyewe afu kiukavu ukavu ivyo hainogi dearest!!! mr Atakuleta baadae kama nilivyomuagiza.

You have always being my treasure!!!

Ha ha ha umeshituka eeehh ha ha mjanja sana wewe
 
Last edited by a moderator:
Wala usijali bibie Mr.rocky hajakukataa saizi ni akili yake tu kucheza vizuri asikukwaze wewe wala bimkubwa! Na bmkubwa wako yuko peace sana ondoa hofu.

Sawa bidada nashukuru
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom