Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

kiwatengu kama mpaka ndugu wanadhulumiana na kufanya vikao vya siri kumuangamiza ndugu kweli tafsiri ya ndugu inatakiwa kufanyiwa marekebisho aise maana hapa nawaona Tized na kiwatengu ndugu zangu kabisa wanafanya fitina ndoa yangu ivunjike na kwa taarifa yenu ndoa yangu na Dena Amsi haitavunjika

Hebu waambie my dear
 
Last edited by a moderator:
we ndiyo uliacha kuiharibu ndoa yako mwenyewe nikiweka ushahidi hapa usikimbie.

Ulishayavulia nguo lazma uyaoge,
Tized na Dena Amsi wapo underground, wanajuana kuweka mambo okay. andaa moyo wako na uwe tayari kupokea lolote.

Wala hatutahitaji kukufunga kamba ili usilete fujo,
uondoke tu mdogo mdogo...

Wewewewe??? Eti umesemaje??? Nani huyo?? Siwezi mwacha mume wangu kamwe
 
Last edited by a moderator:
Duh!kwa hiyo wanajijua kuwa wanashere bwana? @MrRocky.Pole sana bi mdogo kwa madaha yote kumbe umevamia ndoa ya watu missChagga.

Ha ha ha mpe pole akusikie lakn hana wivu analijua hilo na nimemsamehe
 
Last edited by a moderator:
Uhuru nani alimpa uhuru
Talaka imetolewa na nani
Kama hakuna talaka hakuna uhuru wowote ndoa yetu iko pale pale
Mbona unashabikia sanaa wewe au kinakuuma Dena Amsi kunyamaza kimya bila kuongea maana anaona maneno yenu hayamzuii kuendelea kuwa na mimi

Nimeshituka kweli nikasema he umeniuza ama??? Washindwe na walegee
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha limbwata mwallu na yeye anajua kabisa kuwa yeye ni nyumba ndogo na nyumba kubwa Dena Amsi yupo hana mashaka na hilo kabisa
tatizo kuna viwatu vina mdomo hapa haswa kiwatengu na Tized hawataki kuona ndoa yangu inaimarika aise ni kunipiga vita tuu kila siku hata nikichepuka wanakuja kutangaza humu

Mchepuko wako haurudiwi tena Bi Kubwa ndani ya nyumba uchepuke ili??
 
Last edited by a moderator:
dena yuko huru.
na ni vyema ukamwachia nafasi.
kama na yeye ataamua kufanya mchepuko its okay.
Ila what goes around comes around...

Aliokwambia niko huru nani? Na nimeachana na mume wangu nani?? Weeee acha kabisa
 
Hiyo ndoa na miss chagga kaiapprove nani hapa
Ndoa yangu inayofahamika ni yangu na Dena Amsi mpaka kifo kitutenganishe
Hakuna cha kukabidhiwa hapa wala kushare na hakuna mke wa kushare hapa kiwatengu na Tized Dena Amsi ni mke wangu na kama nilichepuka kwa miss chagga ilikuwa ni mchepuko tuu ila ndoa haijavunjika
Mke wangu alisafiri muda mrefu ndo maana nikachepuka

Hebu waambie ndoa tangu lini zikawa mbili??
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena nyumbani mamii. Hebu niambie.Huko Dareda bei ya mahindi gunia moja ni kiasi gani?
Nataka kuja kuhemea huko.

Aisee bei bado iko chini wahi mapema kabisa 30000@gunia
 
Yaani nimewasoma wooote na fitina zenu nikasema ninyamaze ila nimeshindwa hata usingizi umekataa kabisa.

Sasa nasema hivi kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji sawa?? Hata msemeje Mr. Rocky is still my Husband na simwachi michepuko, sijui miss chagga alichepukika nae nasema hivi sijali kabisa hata tone sawa? My Husband nampenda na nitaendelea kumpenda nkt Huby usijali mpenzi

ndumba at work
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana angalao tufahamiane, Mr Rocky alishakukukabidhi kwangu, Shahidi ni Ndugu mwandishi kiwatengu na mke wake huyu mpya.. anaitwa nani tena vileee.. naniiiii.... hewala miss chagga.

Nimekumisi pia Dena Amsi, I ve dreaming of this day.
Ntapitiamo tumahidi tuwili nkachemshe leo.. nna hamu mieeee!!!

Mahindi utapata na karanga pia njugu ila hayo ya kukabidhiwa nooooo still love my huby
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimewasoma wooote na fitina zenu nikasema ninyamaze ila nimeshindwa hata usingizi umekataa kabisa.

Sasa nasema hivi kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji sawa?? Hata msemeje Mr. Rocky is still my Husband na simwachi michepuko, sijui miss chagga alichepukika nae nasema hivi sijali kabisa hata tone sawa? My Husband nampenda na nitaendelea kumpenda nkt Huby usijali mpenzi
Safi sana Dena Amsi una mapenzi ya ku share hadi shetani anakuogopa hivi kweli unampenda Mr Rocky? Mbona wanakutafunia na miss chagga huna Wivu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom