Nimewakumbuka, MMU Legends


.....😊😊😊 pamoja bro! Wapi Smile?! Lizzy?
 
Last edited by a moderator:
Afu kipindi hii jeiefu inaanza members wengi mlichagua id kwa kuangalia mwenzio kafanyeje... Hapakuwepo na ubunifu kiviiile... Hebu cheki hapa... Mbu aneeneza Malaria Sugu ukisikia mauvu ya Kichwa unameza Asprin usipopona unakunywa klorokwini.... Hahaaa. Ningejiunga kipindi hicho nahisi ningejiita NET YA MBU..
 
Last edited by a moderator:

....hahhha, umeona ee? Hata Firstlady alikuwamo humu, na FirstLady1,.....
 
Last edited by a moderator:
Nipo Mkuu nina furaha tele ya kuchukua FA Cup kwa mwaka wa pili mfululizo na timu iko bomba sana 2 or 3 new players next season na timu yetu itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Serena alishinda Jumamosi dhidi ya Azarenka na leo kashinda tena dhidi ya Sloane Stephens. Kwenye QF atacheza na mrembo wa kutoka Italy Erani. Umeadimika sana Mkuu.

....hahhhaha, Husninyo huenda ndio miongoni mwa walioolewa, jf hawaitaki teeena...

Kaka BAK, upo? Hehhhehh
 
Taarifa hii imfikie Sikonge popote pale alipo!.
 
Last edited by a moderator:

Miss you my dear BAK.Nilikutafuta tukaangalie wote game lakini haukupatikanika.Nimekumiss ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Tukizungumzia ma legends wa JF (achana na MMU) basi kabisa hawezi kukosekana shemegi yangu Mwafrika wa Kike.

She is/ was a trailblazer. And those were the days. I sorely miss her.

Sometimes in my own utopia I just wish one day I'd wake to see she has made a comeback. I'll continue to keep my hope alive, nevertheless.

Na kuna majina ya watu ambayo yako synonymous na JF.

Nayo ni wenu mtiifu NN, Mzee Mwanakijiji, Mzee ES/ FMES, Mwafrika wa Kike, Kyoma, Fikiraduni/ Fairplayer, Dar Si Lamu, Tibwilitibwili, KadaMpinzani, Ogah, Sam, Rev. Kishoka na Masanja. Bila kuwasahau mabwana wakubwa Mike na Max.

Hiyo ndo top tier ya legends wa JF. Bila hao hakuna JF.

Nani anabisha?
 
FaizaFoxy atabisha, wewe subiri tu (Veve kondaga du).

 
Last edited by a moderator:

Serena
 

Attachments

  • 1433208369122.jpg
    53.9 KB · Views: 130

Daaaaaaahhhh, e bana weeee....hao kweli ma Legendary kiukweli, halafu wakapotea kiaina. JF umaarufu wake ni uwanja wa Siasa miaka hiyo 2006+ baada ya Jambo Forum,.....huku MMU yalifuatia mazungumzo baada ya habari miaka ya 2008+.

Pia waloikuwepo kina Bubu msema Hovyo, Kandambili,....na wengi wengineo,....raha sana miaka ile...
 
Reactions: ram

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…