Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
mnazidi kunipasua kichwa
mbona nlishaamua kutokumweleza ila hawa WAKENYA nawajua vizuri tabia zao siku wakijua tu kuwa nina mchumba na tena anasali kanisa wanalosali sjui itakuwaje......dear usimpe dhamana changudoa atakufunga nawajua vizuri
Tatizo lako hukubali ushauri unang'ang'ania Wakenya mata roho inakusuta.We unajifanya mgumu tu bila sababu wapewa ushauri unasema wa kupasua kichwa. Usinge kuja kuomba ushauri. Kama IPO IPO tu. Au kama kuna kitu hujakieleza unahofia.