Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Hhhhaaa maaan inaonyesha alikua analipwa vizuri mnoo hapo atuelewesheeee ndio maana nasema mengine anyamaze maana akisema maswali yatazidi
mtu anapata ugumu gani kunielewa
mama alikaa miaka mitatu gerezani
fanya hii hesabu:mama kakamatwa nkiwa form three naingia four mwaka 1
baada ya four nkasoma chuo huko huko nairobi miaka miwili n tena mama anatoka gerezani bado sjamaliza chuo

Tatizo mkosoaji amekariri kwamba lazma usome advanced level na University...kwakeCHUO LAZMA IWE NI UNIVERSITY na lazma usome A-LEVEL....dats why tunasema elimu ya TANZANIA inaukakasi
 
Carry on with your life, jisamehe nafsi yako halafu funga hiyo chapter. Hata akija kujua kutakuwa hakuna athari. Let God/Nature take its course. Ndio maana ya kumkabidhi Mungu. You are a new person now, right? Why worry......
Na kwa kuongezea, kwani umemkosea nini hadi u confess kwake, just clear your conscience and that's all.
 
hao wadada wakenya kaa nao chini waambie wewe umeamua kuzaliwa upya umemfuaa Yesu, na Mungu akipenda utaolewa soon, so waambie yale tuliokuwa tunafanya enzi hizo please wasiyalete kwa mumeo mtarajiwa

Mbona watakuelewa tu!! wangapi tunajua maovu yao hatujathubutu kusema kwa ajili ya kulinda mahusiano ya watu
Acha kabisa
Changudoa asikie mwenzake anaolewa roho inamuuma utadhania kafiwa mama yake....nawajua vizuri changudoa anataka kusikia bado unajiuza na unaendelea kuteseka
 
hata sina mpango wa kumwambia ila naogopa WAKENYA watamwambia
nimekumiss sana IVUGA

Unajitesa acha kuukimbia ukweli,mwishowe utajikana mpaka mwenyewe...ur struggles made you survive and strong but dont let them define you!
 
inavoonekana hukubadilika ndio maana iyo dhambi inakuwazisha... kama umebadilika usiwaze hayo mwambie Mungu na ukitumia akili zako umeumia.

najua mtanihukumu kwa lugha chafu kwa sabab ya historia yangu
ila ukweli niliacha pindi mama alipotoka jela kwa kuwa mama alikuwa mtu wa dili nyingi pesa haikusumbua
 
Kama hiyo story yako ya kweli hauhitaji hata kumwambia uyo bwana ndio maana kwenye sala ya toba huwaga hatutaji aina za dhambi ambazo tulikuwa tunafanya cha msingi rudi kanisani wala ucjushtukie, tatizo lako wemwenyewe hujajisamehe.sio ajabu hao wakenya wanakuogopa wewe usije ukasema background yao.kuwa huru kipindi ulikuwa unafanya hayo haukuwa na nuru na mazingira yalikulazmisha anza kwanza kujisamehe wewe sio kila kitu cha kumwambia mwezanko mengine badala ya kumjenga utambomoa bure unless kama unatatizo la uzazi hayo ndio mambo ya kushare mapema
ushauri wako ni option namba 1....ila ndugu yangu machangudoa ni ngumu sana kukubali kumwona mwenzao akiolewa nawajua vizuri
 
Hama nenda mikoa kama Simiyu hivi, nani atakujua. Mwambie mchumba wako nimepewa maono tuhame twende huko.
 
Ha ha ha hii ni story tu kama zilivyo story zingine...
 
Acha kabisa
Changudoa asikie mwenzake anaolewa roho inamuuma utadhania kafiwa mama yake....nawajua vizuri changudoa anataka kusikia bado unajiuza na unaendelea kuteseka

Mmmh kama ni hivyo basi wakwepe ndg yangu, anza taratibu kuachana nao, badili hata namba ya simu, wasijue kwako, usiende wanakosali. Kifupi kaa chini fikiria namna ya kuwaepukana nao, and don't tell them about your hubby-to-be

Khaa now I get the full picture, kumbe uko ktk hali tete kihivyo!!! Mlilie Mungu wako sista, omba na tubu kabisa dhambi zako za nyuma, ikiwezekana funga kabisa, mweleze kabisa wasiwasi ulionao juu ya ndoa yako tarajiwa, muombe aepushe mabaya yote.

Ila usithubutu kumweleza mumeo mtarajiwa, hata akija kujua baadae akakuuliza kataa kata, mwambie wale wanakuzushia tu kwa kuwa ulikuwa hupendi mambo yao ya umalaya waliyokuwa wanafanya, so wanataka kukuahiribia tu wanaona wivu!!
 
Sasa atakuwa ametubu vipi kama ukweli bado ataukataa?
 
@Marytina hii story imenivutia, hivi unaweza kuwa umetembea na wanaume wangapi au umefanya mara ngapi?
siwezi kujua idadi ila ilikuwa haisumbui kupata hela kiasi nachotaka ndani ya siku chache kwa kuwa tulikuwa tumejichagua wadada wazuri na hatukukaa hoteli mmoja zaidi ya wiki so kila eneo tulionekana wapya tulipanga bei tutakayo

pls hii stori ilitakiwa ikuhuzunishe na sio kukuvutia.....nateseka sana kila nikiwaza future itakuwaje hii siri ikivuja
 
Mmmh kama ni hivyo basi wakwepe ndg yangu, anza taratibu kuachana nao, badili hata namba ya simu, wasijue kwako, usiende wanakosali. Kifupi kaa chini fikiria namna ya kuwaepukana nao, and don't tell them about your hubby-to-be

Khaa now I get the full picture, kumbe uko ktk hali tete kihivyo!!! Mlilie Mungu wako sista, omba na tubu kabisa dhambi zako za nyuma, ikiwezekana funga kabisa, mweleze kabisa wasiwasi ulionao juu ya ndoa yako tarajiwa, muombe aepushe mabaya yote.

Ila usithubutu kumweleza mumeo mtarajiwa, hata akija kujua baadae akakuuliza kataa kata, mwambie wale wanakuzushia tu kwa kuwa ulikuwa hupendi mambo yao ya umalaya waliyokuwa wanafanya, so wanataka kukuahiribia tu wanaona wivu!!
sina namba zao na hawajui nafanya nini maana kanisani hatukuongea zaidi ya salamu ...na nilihama hili kanisa tokea siku hiyo
 
just ignore them mai sister, some people are like that, kila jambo wao wanaleta masihara

tena unaweza kukuta hawa ndio wale wadogo zangu nliowalipia ada na walikuwa wakigombana na mimi wakidhania nina akaunti ambayo mama kaniachia pesa nyingi ambazo nawabania
 
Back
Top Bottom