Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Mtu asikudanganye wewe eti ukweli utakuweka huru, wanaume wana inferiority complex, ukimwambia tu atakuwa anajidharau kuwa hakuridhishi, maana katika hao mamia umekutana nao kuna mitulinga tofauti ya haja, we vunga.