sikuwahi kufanya kinyume, ELIZABETH alinielekeza namna ya kuchuja wateja na mmojawapo ya mbinu ni usikubali kunywa pombe wala soda ya usikubali mteja wa usiku kucha...i just pick short time clients ambao hawawezi kukulazimisha matakwa yaoVp na T.G. iligongwagongwa kidogoo
Na utamu wake Vp bado waukumbuka?
Je? unatamani siku moja tena u...T.G.gike
Hayo yalishapita ushaomba msamaha kwa muumba wako,kwa wanaume w kibongo ukimuambia ukweli siku mkikosana ndio silaha ya kukuumiza wewe utaambiwa ndio maana ulikua changudoa ,mwambie sasa utayaona tunayokuambia
Utakuwa ndani tayari, not now ndio anataka kuchukua mzigo atakimbia kama kaona nyoka ubaki na Padre kanisani.
Ndio uwe mbali nao wataanzaje kumuambia mumeo hayo mambo ,kua mbali usiwe na mazoea nao,ukiwaweka karibu lazima watakuharibia maana mtaweza gombana siri ikatokaa
mmh ngumu kuamuaread between the lines am proud of what you did as a sisiter to your siblings. and looks like what you want is only marriage you dnt care the consequences anyway utajisikiaje pale ushaolewa halaf anakuja kujua kuhusu hyo tabia yako na akakuacha cz ya hilo swala? ipi ni aibu kubwa kwako?
anyway mi kwangu ukija ntakutreat kama ambavyo walikutreat
so...if ur proud of me niwe mkweli kwa jamaa na kikiwaka utanipigia chepuo kwako au kwa mshikaji wako anioe?
...mpaka leo zaidi ya wakenya nliokuwa najiuza nao ni mama tu anayejua, hata wadogo zangu hawajui kuwa nilijiuzauongo kwenye mapenzi ni silaha tosha
kama nlivyokwambia kua hukufanya kwa mapenz yako ila mazingira yalikulazmu kufanya hvyo? kuna tatzo gan kumwambia as long mpka sasa hujaonyesha tabia tofaut kwake so ataumia ila kama kwel ni muelewa talichukulia hilo swala in positive way! ila warning usje ukafnya chochote relating to uchangudoa hapo utamfanya aamin kua baado una hizo tabiammh ngumu kuamua
so...in any way hutaki kuwa na shemeji aliyewahi kuchangudoa????? mbona mnataka nijiue
unazidi kuniumiza
hata wadogo zangu hawajui kama nlikuwa najiuza NAIROBI wakati wa LIKIZO....so i do believe hata mchumba wangu anaweza asijue hii siri maisha yake yote.Only my mama anajua hata baba na mjomba wahajui
Basi haina taabu mueleze tusikuwahi kufanya kinyume, ELIZABETH alinielekeza namna ya kuchuja wateja na mmojawapo ya mbinu ni usikubali kunywa pombe wala soda ya usikubali mteja wa usiku kucha...i just pick short time clients ambao hawawezi kukulazimisha matakwa yao
Nataka siku moja nikudanganye.:becky:uongo kwenye mapenzi ni silaha tosha
huwajui wakenya wanavyopenda kulazimisha urafiki yaan ni ngumu kuwakimbia wakijua napoishi nimekwisha
baada ya matatizo yote ya utotoni kwa sasa nimekuwa mpole sanaSio kila ukweli humuweka mtu huru. Labda nafsini mwako tu ila kwa mwingine ukweli wako unaweza kuwa tofauti. Me naona kama unahisi hao wakenya waliopo chuga watakisanua kwa bf wako bora useme tu naamini kwa ulivyoelezea hapa japo kwa ufupi mtu mwelewa na anaekupenda atakuelewa na kukuonea huruma. Ila kama wakenya hao hawana connection na bf wako me naona hamna haja ya kusema maana kuna siri zingine zakubaki nafsini mwa mtu hadi anazikwa nazo.