Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Siijui ndio ya rangi gani?
Nakubali ukweli sawaaa lakin ukweli mwingine hubomoa pia inategemea na akili ya mumee,kama mume akili yake mbayuwayu wataambiwa hadi mawifi hadi marafiki,labda kama huyo mwanaume ni malaikaa mi napinga hilo hakuna cha stara wala stata
Tunarudi kuleee kwamba mume n mpango wa Mungu ndugu yangu so akiwa huyo ndo kapangiwa Awe mmewe asipokua huyo sio rizik ake Ila afaham mficha maradhi kifo humuumbua