Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Kosa la mtu mmoja ndo uchukie wanaume wote hata kijacho pia...inabidi ukapime akili
 
R.I.P BIIIIITCH wanasema muuaji akifiwa hulia machozy ya simba, nashangaa nyinyi akina dada mkiachwa mnasema mmesalitiwa, je angekuletea ngoma?? shuykuru hata amekupa ujauzito soon utakua mama. hivi mlikua hamjua wanaume tunavyoumia pindi tunaposalitiwa? wewe tuun kuachwa unalia shame on you.
malipo ni hapa hapa duniani, bye the way chunguza matendo yako ndo utapata jibu, nachukia sana nyie viumbe pesa zetu tuwape tuwafanyie kila kitu tunachoweza kwa uwezo wetu lakin hamridhiki,
je nyie mngekua mnatuhonga halafu tunawasaliti mngejisikiaje?
 
Haya. Ila pole sana momy,wanaume wote hatuko kama huyo na kuna uwezekano huyo wako ulimuudhi au kuna kitu alikuwa hakwambii na alikivumilia kwa muda mrefu mpaka alipoona hawezi tena na kubwaga manyanga. Mtu aliekwambia amefurahi umepata ujauzito,hawezi kukukimbia hivihivi tu,lazima kuna kitu.
Kuna vitu wanawake huwa hamchukulii kama ni matatizo ya kukera ila yanafukuza sana wapenzi na mengine ni simple sana mf:Kuongea sana bila kuacha na ukitaka usikilizwe wewe tu na maoni yako ndio ya kufuatwa na ya mwenza wako si ya kusikilizwa wala kufanyiwa kazi.
Kingine ni kununa bila sababu. Unaamka tu ukiwa umekunja ndita bila sababu yoyote ya msingi na hutaki kusema chanzo ni nini. Hilo humfanya ulienae kuishi akiwa roho juu na asijue la kufanya. Wenye akili nyingi kama mimi,tutakuacha na kujiendea baa kutuliza akili,lakini wasiokunywa watakaa na hizo stress mpaka akili yako irudi sawa. Sasa imagine atavumilia stress mara ngapi ikiwa ndio tabia yako?
Kingine ni ulalamishi na manung'uniko. Wengi hapa watanielewa. Unakuta mtu kutwa kucha ni kulalamikia mambo madogo mpaka makubwa,hana kauli yenye matumaini, hataki kushiriki katika kutatua anayoyalalamikia,kazi yake ni kulalamika tu na kuwa mtazamaji wakati mwenzi asietiwa moyo akihangaika kutatua matatizo hayo. Mtu atakuchoka haraka sana ukiwa na attitude kama hiyo.
Kukosoakosoa majambo. Mtu kakununulia viatu,wewe unaanza kuvitoa kasoro na kulinganisha na vya mke wa jirani alienunuliwa mtumbani juzi. Mtu kanunua friji mpya na seti za vyombo,wewe unampigia kelele kuwa havina ubora na hujavipenda. Unadhani siku nyingine atanunua kitu kipya na kuleta kwako ili iweje? Au kama akimpelekea mtu mwingine hereni za elfu sita na bangili za elfu tano akashukuriwa kama kitu gani,ataacha kumpelekea kitu kikubwa zaidi huyo anaeshukuru zaidi? Atahamia kabisa afannye nae maisha na sio kukaa na mtu anaekatisha tamaa.
Vingine ni kiburi,ujuaji usio na msingi na mengine mengi. Hulazimishwi kubadilika,ila kama nia yako ni kuishi na mwanaume unaempenda na yeye akikupenda,basi badilika ili uvumilike,mvumiliane.
Nimeikubali hii msg duh
 
Unaweza kuwachukia wanaume ila kama papuchi inasumbua itabidi tu uitoe tena dah
 
Mimi nikupe hongera kushika mimba. cha msingi tuliza akili uzae salama. Ndugu yako wa kesho ni mtoto wako siyo huyo bwana. atakataa mimba ila siyo mtoto. pia kisasi mwamchie mungu.
 
Hii ndio raha ya kutembelea rim......kuzalishwa sio mwisho wa maisha muombe mungu uzae salama uleee mwanao
 
R.I.P BIIIIITCH wanasema muuaji akifiwa hulia machozy ya simba, nashangaa nyinyi akina dada mkiachwa mnasema mmesalitiwa, je angekuletea ngoma?? shuykuru hata amekupa ujauzito soon utakua mama. hivi mlikua hamjua wanaume tunavyoumia pindi tunaposalitiwa? wewe tuun kuachwa unalia shame on you.
malipo ni hapa hapa duniani, bye the way chunguza matendo yako ndo utapata jibu, nachukia sana nyie viumbe pesa zetu tuwape tuwafanyie kila kitu tunachoweza kwa uwezo wetu lakin hamridhiki,
je nyie mngekua mnatuhonga halafu tunawasaliti mngejisikiaje?
On a povu linavyokutoka pole yako kumbe wamekufanya ATM machine hshaaaa hata sisi tunazo za kuhonga uje nikuhonge marioooo wewe!!!!!
 
N
ka umetoka na machunusi, basi ujue ni mtt wa kiume, ka uko softiee unang'aa ujue wa kike,. Hongera.
Niko siftieeee mnoooo hakuna hats dalili ya chunusi usoni mwangu sipaki lotion lkn ndio nang'aaa mnoii kama mwanga was kibatari
 
Unajitia unajisi kwa uasherati halafu unasema unamshukuru Mungu hujaumwa hata mafua! Acha uisome namba, mlango ulioingilia ndio utakaotokea, kila anavuna alichopanda.

Hatunywi sumu wala hatujinyongi, tumejipanga mwaka huu, mtaisoma namba, wanaume mbele kwa mbele.
Daaah
Mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom