DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,676
- 81,642
Na yupo darasa la nne anafanya mtihani wa TaifaUzi wa mwaka 2016 kama alijifungua mtoto ana miaka 9 sasa ivi

Mfufua nyuz kwenye moja na mbiliPole sana
HahahaMfufua nyuz kwenye moja na mbili
Kuna wakati wanawake akili zao zinawatuma kwamba akimzalia mtu, basi ameshaweka msingi wa mahusiano. Hawajui kwamba wengine ni viruka njia, nyama wanayotafuta wakishaila, biashara kwisha. Labda, japo ni mara moja moja sana, mwanaume akikuvizia na kukupa ujauzito, ndo unaweza ukawa na asilimia 20 kwamba labda anaweza akadumu na wewe.Ubinafsi tu.
Ulidhani kama wewe unahitaji na mtoto na mwenzio atakuwa nao?
Siku nyingine ukifanya ngono hakikisha nyote mtakubaliana na matokeo yatakayotokana na ngono.
Njia pekee uliyopaswa kutumia kufanya huu ubinafsi ni kuhakikisha umeolewa. Maana ndoa hutoa maamuzi kuwa lolote mtakalolifanya basi mmekubaliana nalo.
Mwanamke ndie mwamuzi wa mwisho kwenye suala la uzazi.
Pole
Hate the player, not the game.Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa simu hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane.
Nimehangaika kuwasiliana na watu wake wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachowaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vizuri tuu akaniambia labda anaogopa majukumu.
Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu nipate mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vizuri na maisha yangu, nalea peke yangu.
Ila napata shida moja ya kisaikolojia, nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike. Nilienda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi though nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed.
Nimeamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana nimechukia mnoooo!!!!!
Unaonekana una umri mdogo,na mbaya zaidi ukadhani mtu wa umri wako tayari ni MWANAUME na kumbe bado ni mtoto wa kiume,kwa Dunia ya sasa mume anapaswa kukuzidi miaka isiyopungua 20, sasa ukisema unawachukia WANAUME kweni umepewa mimba na WANAUME wote mpaka BABA yako? Wewe nywea kikombe chako kwa hekima na upole na usijaribu kutuunganisha wote kama watoto wa kiume na kumbe sisi wengine ni WANAUMEWanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa simu hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane.
Nimehangaika kuwasiliana na watu wake wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachowaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vizuri tuu akaniambia labda anaogopa majukumu.
Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu nipate mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vizuri na maisha yangu, nalea peke yangu.
Ila napata shida moja ya kisaikolojia, nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike. Nilienda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi though nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed.
Nimeamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana nimechukia mnoooo!!!!!
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa simu hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane.
Nimehangaika kuwasiliana na watu wake wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachowaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vizuri tuu akaniambia labda anaogopa majukumu.
Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu nipate mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vizuri na maisha yangu, nalea peke yangu.
Ila napata shida moja ya kisaikolojia, nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike. Nilienda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi though nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed.
Nimeamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana nimechukia mnoooo!!!!!
Mfikilie Baba yako kwanza kabla ya hicho kivulana chako na ushenzi wa kichwani mwakoWanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa simu hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane.
Nimehangaika kuwasiliana na watu wake wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachowaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vizuri tuu akaniambia labda anaogopa majukumu.
Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu nipate mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vizuri na maisha yangu, nalea peke yangu.
Ila napata shida moja ya kisaikolojia, nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike. Nilienda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi though nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed.
Nimeamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana nimechukia mnoooo!!!!!
😅 Kashaanza na shule, natamani aje alete mrejeshoUzi wa mwaka 2016 kama alijifungua mtoto ana miaka 9 sasa ivi