Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Acha kutaja majina makubwa kwenye upuuzi wenu wa kugegedana. Sasa akubariki kwa kutenda dhambi au rehema na huruma yake inakupa afya?
 
pia utkapo jifungua kama unaitwa jane mfano
na mwanao labda christopher au diana
unamwita DIANA JANE/ CHRISTOPHER JANE
Haina haja ya kutukuza janamme lisilo wajali.
 
Subiri ukishazaa utamuona, au atakutafuta, wallah nakuapia, kisha hapo wewe mwenyewe utajua nini cha kufanya
 
Pole sana dada yangu!
Wewe unasema unawaogopa wanaume kwa sababu hiyo ila kuna wanaume wanawaogopa sana na kutokuwaamini wanawake wote kwa sababu ya usaliti.
Lakini mimi nasema si wanaume wote wala si wanawake wote kuwa hawana upendo wa dhati na uaminifu wa hali ya juu na usio na walakini ndani yake ila ngumu tu kuwapata. Just give yourself time and pray that a right man comes across your way.
 
Kikubwa nikupe pole tu.. Ila elewa wanaume wote hawako hivyo, hayo ni mapungufu tu ambayo tunatifautiana kila mmoja, ukichukia utaishia pabaya tu, hata wanawakr pia mnakosea mpka mtu anajikuta kuwachukia.
 
Kwani we unafikiria hakuna wanaume wanaoumizwa na wanawake hadi kufikia hatua ya kujinyonga? Mapenz ni kitu cha ajibu.
 
Ikitokea ukazaa mtt wa kiume tafadhal sn usije ukamuadhibu sababu ya baba yake hy ni dhambi kubwa sn. Lkn hupaswi kusononeka kiasi hicho pengine unaepushwa na balaa. angekuwa amekufa hy mwanaume ungezikwa naye? au usingelea mtt wk? jipange umlee mwanao Mungu atakusaidia
 
binafsi nilicho kiona kwa mtoa mada,n kwamba ni mtu mwenye maneno meng na wanaume hawapendezwi kuwa na watu hao.so vumilia,jifungue na bila shaka mtoto atakuwa wakiume..ila jamaa atakuja kufuata copy yake.....
 
pole sana.
ila elewa na ukwlawaeleweshe wenzako kwamba mapenzi siyo MANDAZI kama wadada wengi mnavyodhani na wala mapenzi siyo sawa na tufaha la mexico.
wape salamu wenzaji wote wanaofanya mapenzi sawa na gharama ya kachumbari na msipo badilika nyie wadada itakula kwenu kila kukicha
kaza moyo mambo yako yatanyooka.
 
Ivi dada mwenye zaidi ya miaka kumi na nane anapewaje mimba ambayo hamjapanga huku ukiwa na elimu kabisa ya kujua mimba inaingiaje shida ni moja si kila unamwambia njoo malizaa babaa kaamua kuwa baba wengine wanataka starehee ni jambo la kukaa na kupanga pamoja
Ungechukia wanaume na ukaacha kuvua chup ovyo leo ungetuletea somo la ujasiriamali hapa tuelimike by the way jichukie ww kwa kutosikia neno la Mungu kutokutii wazazi kutosikia waalimu pamoja na serekali sbb hata Mweshimiwa alishasema mimba ni kiherehere chenu mabinti
Acha kumlaumu mtu ambaye hukuingia nae mkataba wa kupata watoto mkataba huo ni ndoa na cheti hutolewa angelelewa hata na familia zote mbili sbb wangekuwa ni mashaidi ndefu lkn soma
JICHUKIE WW KWA KIHEREHERE CHAKO
Kulea si tatizo thou ningeshindwa ningekuwa nimemtoa zamani but still ninae pole kwa mawazo finyu
 
binafsi nilicho kiona kwa mtoa mada,n kwamba ni mtu mwenye maneno meng na wanaume hawapendezwi kuwa na watu hao.so vumilia,jifungue na bila shaka mtoto atakuwa wakiume..ila jamaa atakuja kufuata copy yake.....
Too hell
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Siwatetei wanaume bt napata shida kuamin kama mliishi vizuri ghafla jamaa akakata connection, either kuna nyuma ya pazia au ww au yeye mna matatzo....
Chukua hii "men we know whom we Love" so uenda hukipendwa na hoyo mimba ilitokea kiajal
 
Hahaaaaa unaweza kunipa ushauri gani labda!!!!! Nguvu za gizaaa.

We ni halali yako kukimbiwa mana unaonekana jeuri afu unataka huruma kwa watu Ili huyo aliekukimbia aonekane mbaya..
 
Wanaume,wanaume,wanaume.wanaume walikua babazetu tu,hawa wa sasa hawana maana.km una uwezo wa kumlea mwanao shukuru mungu mana ukiendelea kumfikiria unazidi kujiumiza na wakat hapatakuwa na mabadiliko yyte.mpotezee tu ila pole sana inauma roho jmn dah.
 
Ukizaa utarudi kwenye hali yako ya kutamani tena... binadamu tumeumbiwa kusahaui na kutamani tena...

Na kwa nini mnapenda kuaminiana sana mpaka mzae kwenye uchuma na nje ya ndoa... inaonekana kuhama kwako imekuwa nafuu kwa mwenzio kwani anaonesha hakuwa tayari kwa hilo..
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!

Huna sababu ya kumchukia mzee mkubwa kwani inatokeaga sana ila mtoto akisha kua na kutembea mzee mkubwa atarudi tu. Halafu kwakuwa huyo mtoto ni wa mzee mkubwa siku zinakuja atamtaka babake..... Kwahivyo tafakari sana wanaume sio wa kubezwa hata kama wamekosea....
 
Kakurupuka tu huyu simfaham anajifurahisha
Haya. Ila pole sana momy,wanaume wote hatuko kama huyo na kuna uwezekano huyo wako ulimuudhi au kuna kitu alikuwa hakwambii na alikivumilia kwa muda mrefu mpaka alipoona hawezi tena na kubwaga manyanga. Mtu aliekwambia amefurahi umepata ujauzito,hawezi kukukimbia hivihivi tu,lazima kuna kitu.
Kuna vitu wanawake huwa hamchukulii kama ni matatizo ya kukera ila yanafukuza sana wapenzi na mengine ni simple sana mf:Kuongea sana bila kuacha na ukitaka usikilizwe wewe tu na maoni yako ndio ya kufuatwa na ya mwenza wako si ya kusikilizwa wala kufanyiwa kazi.
Kingine ni kununa bila sababu. Unaamka tu ukiwa umekunja ndita bila sababu yoyote ya msingi na hutaki kusema chanzo ni nini. Hilo humfanya ulienae kuishi akiwa roho juu na asijue la kufanya. Wenye akili nyingi kama mimi,tutakuacha na kujiendea baa kutuliza akili,lakini wasiokunywa watakaa na hizo stress mpaka akili yako irudi sawa. Sasa imagine atavumilia stress mara ngapi ikiwa ndio tabia yako?
Kingine ni ulalamishi na manung'uniko. Wengi hapa watanielewa. Unakuta mtu kutwa kucha ni kulalamikia mambo madogo mpaka makubwa,hana kauli yenye matumaini, hataki kushiriki katika kutatua anayoyalalamikia,kazi yake ni kulalamika tu na kuwa mtazamaji wakati mwenzi asietiwa moyo akihangaika kutatua matatizo hayo. Mtu atakuchoka haraka sana ukiwa na attitude kama hiyo.
Kukosoakosoa majambo. Mtu kakununulia viatu,wewe unaanza kuvitoa kasoro na kulinganisha na vya mke wa jirani alienunuliwa mtumbani juzi. Mtu kanunua friji mpya na seti za vyombo,wewe unampigia kelele kuwa havina ubora na hujavipenda. Unadhani siku nyingine atanunua kitu kipya na kuleta kwako ili iweje? Au kama akimpelekea mtu mwingine hereni za elfu sita na bangili za elfu tano akashukuriwa kama kitu gani,ataacha kumpelekea kitu kikubwa zaidi huyo anaeshukuru zaidi? Atahamia kabisa afannye nae maisha na sio kukaa na mtu anaekatisha tamaa.
Vingine ni kiburi,ujuaji usio na msingi na mengine mengi. Hulazimishwi kubadilika,ila kama nia yako ni kuishi na mwanaume unaempenda na yeye akikupenda,basi badilika ili uvumilike,mvumiliane.
 
Back
Top Bottom