Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Tayarii imeshakula kwako.laiti ningejua uja yakishatokea...!Hahaaaa tena mkakufie mbaliiiiii
Hii nini hii mkuu? Mnafahamiana?Nilikutongoza ili nikuoe ukanipotezea kisa mwalimu.
Naona umevuna matunda.
Hakuwa type yako dada.
Pole sana
Kosa lako ni moja! Generalisation! Wewe hapo ni zao la shahawa sijui ni za mwanamke?Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!