Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba, nikapata mimba akawa amefurahi sana. Basi tukakubaliana tukaweka mikakati yetu.
Tulikuwa tunaishi mkoa moja mimi nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa simu hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane.
Nimehangaika kuwasiliana na watu wake wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachowaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vizuri tuu akaniambia labda anaogopa majukumu.
Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu nipate mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vizuri na maisha yangu, nalea peke yangu.
Ila napata shida moja ya kisaikolojia, nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike. Nilienda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi though nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed.
Nimeamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana nimechukia mnoooo!!!!!