Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

chuki za mimba hizo dada, hebu kula malimao mengi. mm mwenyewe hapa nlipo nachukiwa na wife hadi nasingiziwa nakojoa kitandani yaan kwa upande wangu nyumba haikalik.
 
Hata uliwa leba utasema sitakaa ninanilyiu tena kitoka wiki nyingi hamuhamu
 
chuki za mimba hizo dada, hebu kula malimao mengi. mm mwenyewe hapa nlipo nachukiwa na wife hadi nasingiziwa nakojoa kitandani yaan kwa upande wangu nyumba haikalik.
Duuh pole sana
 
Wanaume wanajua kuacha mbegu na hao hao wananyoshea vidole single mothers
 
Mkuu vp umesharudi toka korea na huyo mkorea mwenye mimba yako. Naona unajiita kimbilio kumbe ya mkorea bado hayakutoshi
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
we veeepe kwan wanaume wote tulikuwa wapenzi wako acha izoo wewe ...unatuchukia sie tunakujua kwan we veepee ...
 
ka umetoka na machunusi, basi ujue ni mtt wa kiume, ka uko softiee unang'aa ujue wa kike,. Hongera.
 
pole sana, bt hizo ni changamoto tu za maisha, inaonekana boy wako alikutamani tu na wala hakukupenda, b'se asingekutenda, naamini mungu atakusaidia
 
wala tu usiwachukie ni haki yako kupendwa wewe zaa, tulia yupo atayekupenda kama ulivyo
 
Haukuwa na plan B?,yaan unajiweka kwa MTU na unataka akuhudumie wee,jamaa atakuwa amepiga hesabu akaona isiwe taabu.Kama ulianza oooh,Nina mimba yako Mara nataka juice,Mara kitimoto ooh naenda club mimba yako inanisumbua au niitoe? kwanini jamaa asikimbiee?
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
MAMA WA MTOTO UJAE MUNGU AKUPE MOYO WA AMANI NA MATUMAINI MAPYA KATIKA MAISHA UNAYOPITIA KWA SASA NAWE UTAFARIJIKA SIKU ZINAKUJA USIOGOPE!!! Mwanaume hachukiwi Mama bali kumkaribia kwa hekima na uvumilivu wote amini ipo siku anakuja mapema sana, akija mpokee msikilize kisha uamue usiwahukumu kwa kosa hilo uzazi bado ungali unao mama jipe moyo umeshinda!! Karibu sana ningekuwa jirani na wewe faraja ungeipata lakini Mungu ndiye mfariji wa kweli....
 
Kuna watu wanajua kuumiza watu.hiyo ndio kipaji chao.hata akiombwa ushauri yeye ataumiza tu.ni vipaji walivyo jaliwa.
 
Pole sana ukweli harisi wanaume ndivyo tulivyo japo si wote. Si mimba tu kuna wengine ukimvulia tu chupi ndo ushaagana nae, lkn tatizo ni moja tu nyie dada zetu, mnawaamini sana wanaume wasomi kuliko sie wanazengo ambao hakika ni waaminifu na tunaojali. Punguza mawazo na naamini utajifungua salama. We learn through mistakes. Pole sana

Bhebhe Ng'wanapagi, unajipigia ndogo ndogo!.
 
Back
Top Bottom