Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Hayupo alushatangulia mbele ya haki ila angekuwepo akamchukia mama yangu nae ningemchukia
Kwa hiyo na wanaume wanaoteswa na wanawake nao wapanue wigo wa wanaowachukia..?? Kwamba pamoja na kumchukia anayemtesa akuchukie na wewe..??
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
acha kudeka wewe mtoto bado yupo tumboni unalalamika unalea peke yako,ndio maana umechuniwa,,hauna simile na utakuwa una kelele sana kwa jinsi uandishi wako ulivyo,pia habari za upande mmoja sio za kuziamini sana labda tungempata na jamaa tusikie ya kwake ya moyoni.
 
Nikupe ili uyasikie yaliyoko moyoni mwake!!!! Basi tunalea wote
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
kama hutojali ni pm tuongeee
 
[QUeaOTE="lufuo, post: 16719938, member: 275315"]Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!![/QUOTE]

Kosa lako kuanza mapenzi tena bila kondom kabla ya ndoa, majuto mjukuu
 
Utamchukia hadi Baba yako Basi kama Kutendwa kila MTU anatendwa sema unamachukia huyo aliekutenda na sisi tusema Tunawachukia wanawake ? Kisa Tu Mwanamke mmoja Wangap ume Break nao but still unakumbuka Good things they did to you
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Pole Sana Dada angu !!Mimi ni Mwanasaikolojia nimeenda course ya mambo ya jamii Kama yanayohusu Psychologia !!! Hali yako uliofikia inaweza leta madhara kwa Afya yako na ya Mtoto utaemzaa!! Tena hatari itaongezeka zaidi ukimzaa Mtoto wa kiume!!!
Mi naweza kukusaidia kukupa PSYCHOLOGY SUPPORT Kama utahitaji bas ni Pm au nipe no yako tuanze Rehabilitation
 
vumilia dada ndo maisha hayo uliopoambiwa kua uyaone hayakuwa maghorofa
 
Vumilia na mwombe Mungu atakusaidia! mshitaki ustawi wa jamii watu tunatafuta watoto yy anapotezea! mkitoa mimba Zao wanalalama! vumilia unaweza kutuletea la Magufuli au Kasamiah! gud wish u! pray everything God can judgment! hata kazi zake zitaharibika kwa machozi udondoshayo!
 
[QUeaOTE="lufuo, post: 16719938, member: 275315"]Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!

Kosa lako kuanza mapenzi tena bila kondom kabla ya ndoa, majuto mjukuu[/QUOTE]
jiulize we umefanya Mara ngapi nipisheeee
 
Back
Top Bottom