92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,424
- 17,070
duh unasoma tihaihei alafu unapata sup 3 dah pole sanaT.i a
duh unasoma tihaihei alafu unapata sup 3 dah pole sanaT.i a
Asanteduh unasoma tihaihei alafu unapata sup 3 dah pole sana
Nakutabiria unaenda ku-carryWakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Nilipokuwa chuo ilikuwa kila Ijumaa, jumamosi ni club tu hata kama jumapili mchana kuna mtihaniWakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Usiwaze tuliza akili tu utazisafisha.Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Unaandika hii post ukiwa wapi mkuuNilipokuwa chuo ilikuwa kila Ijumaa, jumamosi ni club tu hata kama jumapili mchana kuna mtihani
Nilikuwa mtu wa shopping kwani kila wikiendi nikienda club lazima niwe na nguo mpya
Nilikuwa nadodge vipindi sana lakini sikuwahi kupata supp
Niko picnic chugga napata kinywaji+uefaUnaandika hii post ukiwa wapi mkuu
Kwa aina hii ya uandishi! Naishia hapaT.i a
Relax. Concentrate semester mpya uhakikishe hupati sup pia ufaulu wako uwe wa juu ili isikuletee discontinuity kabla ya sup. Hizo zinachomoka vizur usipokuwa na mawengeWakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Inategemea umesoma nini na chuo kipi, pia na aina za walimu. Kuna walimu ukikutana nao hata administration block wanakuuliza "vipi ?? Unasoma kweli?? " 😁😁Nilipokuwa chuo ilikuwa kila Ijumaa, jumamosi ni club tu hata kama jumapili mchana kuna mtihani
Nilikuwa mtu wa shopping kwani kila wikiendi nikienda club lazima niwe na nguo mpya
Nilikuwa nadodge vipindi sana lakini sikuwahi kupata supp
Ya kifala iyo. Sema ngoja ikikushinda semester 2 niambie
DahVijana hamsomi, kutwa nzima mnaongelea mpira, mademu na ndoto za uongo za biashara. Msivyojielewa na past papers za UE umeshatupa. Shenzi sana.
Campus ya Wapi Mkuu!? Kusema kweli si kwa ubaya na wala sina Chuki Binafsi sijawahi kukutana na wanafunzj wenye uwezo mdogo sana kama wanafunzi wa TiA Singida Campus yuko Third year ila ukikaa nae unajiuliza huyu kafikaje Third yearT.i a
Kuna Chuo gani wanakuachia Papers ya UE usepe nayo mkuu!?? Nilipo soma Test Past Papers sijui unaipatia wapi tu hata ukipata ni za mwaka 2005, 2007 huko mambo tofauti kabisa hata Course Intructor ameshabadirishwaVijana hamsomi, kutwa nzima mnaongelea mpira, mademu na ndoto za uongo za biashara. Msivyojielewa na past papers za UE umeshatupa. Shenzi sana.
Msaidie kijana mkuu,amalize shule yake.Kwa aina hii ya uandishi! Naishia hapa
Kumbe adi watoto wa mama kizimkazi mnapata sup😀Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya