adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,155
- 38,643
Hahahahaha!! Mimi ndio Mkali wa Supp nipo nandunda na siwazi kabisa karibia kila semester naingiza Kisha nachomoa ila kuingiza nyingi mwisho 2 , semester Moja tu ndio nilitoa clean sheet.Kumbe adi watoto wa mama kizimkazi mnapata sup😀