Nimevurugwa nimepata supplementary masomo matatu

Mkuu! Naomba msaada wa taarifa zako ili nijue nakusaidiaje, yaani:
*Umri wako?
*Upo mwaka wa ngapi hapo T.I.A?
*Course gani?

Maana naona joined 2019, au ndio kuchangamsha uzi?
 
mie nilikuwa na sap 5 kwa semister 2 na nimetoboa,acha kuwaza dogo.
 
Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Pole ndugu. Sipatii picha hayo maumivu maana hadi napata degree yangu ya kwanza sijawahi kuonja radha ya supplementary na somo likiwa gumu sana nilikuwa nalikazia na kupata hata C.

Katika miaka yangu 3 na masomo 46 nilipata C tatu pekee tena za marecture wahuni wawili ambao walitamani kunikamata ila walifeli pamoja na kunionea sana kwenye marks.

Siku namaliza chuo waliniambia kabisa dogo wewe huwezi kufeli maisha maana mpambanaji haswaaaa nikasema mwanaume nimezaliwa kupambana wakabakia kucheka. Siku tunakutana kwenye matukio ya kiutumishi kama mabest.

My point is somo ambalo unaona linakutesa kuelewa au Kuna lecture haziivi hakikisha unakufa nalo hata upate C ila hakikisha GPA isiwe chini ya 3 maana huko mbele hutasoma masters bila hiyo kitu
 
Asante kwa ushauri
 
Mkuu! Naomba msaada wa taarifa zako ili nijue nakusaidiaje, yaani:
*Umri wako?
*Upo mwaka wa ngapi hapo T.I.A?
*Course gani?

Maana naona joined 2019, au ndio kuchangamsha uzi?
Niko serious siyo kuchangamsha kesho tunaanza sup
 
Back
Top Bottom