Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,099
- 10,588
Mko bize na mama asemewe badala ya kusoma
Unakuta mtu anasoma account ila hajui ku track computerized account, na Wala hajui ku chambua asset, liability na equity.Campus ya Wapi Mkuu!? Kusema kweli si kwa ubaya na wala sina Chuki Binafsi sijawahi kukutana na wanafunzj wenye uwezo mdogo sana kama wanafunzi wa TiA Singida Campus yuko Third year ila ukikaa nae unajiuliza huyu kafikaje Third year
Ukimuuliza upo Degree Programmes ipi anasema Accounting unachoka kabisa wanafundishwa nini kuna haja hata ya kuchunguza wakufunzi wao wanakidhi vigezo kweli!??
Nakupa experience mdogo wangu usiogope. Mimi nimesoma Ardhi university First Year nilipata supp 5 katika course 7 hii ni first semister. Kwa Ardhi ili uweze kudisco mwisho wa mwaka inatakiwa uwe na GPA chini ya 2.0. Mimi ili nisidisco nilitakiwa kupata GPA ya 3.8 kihistoria hakuna mtu mwenye matokeo kama yangu aliweza kutoboa. Ila nilipambana kupiga msuli mwisho wa semister matokeo nilipata GPA ya 3.9 kwa semister ya pili na nikatoboa na nikachomoa supp zote. Mdogo wangu nakushauri acha kila kitu soma vizuri supp 3 ni ndogo sana.Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Ardhi mwaka gan huo na koz gan?Nakupa experience mdogo wangu usiogope. Mimi nimesoma Ardhi university First Year nilipata supp 5 katika course 7 hii ni first semister. Kwa Ardhi ili uweze kudisco mwisho wa mwaka inatakiwa uwe na GPA chini ya 2.0. Mimi ili nisidisco nilitakiwa kupata GPA ya 3.8 kihistoria hakuna mtu mwenye matokeo kama yangu aliweza kutoboa. Ila nilipambana kupiga msuli mwisho wa semister matokeo nilipata GPA ya 3.9 kwa semister ya pili na nikatoboa na nikachomoa supp zote. Mdogo wangu nakushauri acha kila kitu soma vizuri supp 3 ni ndogo sana.
Kwa ulivyoandika jina la chuo Sup 3 was inevitable,T.i a
AsanteNakupa experience mdogo wangu usiogope. Mimi nimesoma Ardhi university First Year nilipata supp 5 katika course 7 hii ni first semister. Kwa Ardhi ili uweze kudisco mwisho wa mwaka inatakiwa uwe na GPA chini ya 2.0. Mimi ili nisidisco nilitakiwa kupata GPA ya 3.8 kihistoria hakuna mtu mwenye matokeo kama yangu aliweza kutoboa. Ila nilipambana kupiga msuli mwisho wa semister matokeo nilipata GPA ya 3.9 kwa semister ya pili na nikatoboa na nikachomoa supp zote. Mdogo wangu nakushauri acha kila kitu soma vizuri supp 3 ni ndogo sana.
NdyoHivi Kuna watu bado wanasoma?
Asante
T.I.ANipo hapa mtaalamu...
Nijue upo chup gani
Sawa ndyo nimeamka hapa toka saa tisaPole. Soma sana
Unataka hizo sap zitoke kabisa au unataka iwaje fafanuaT.I.A