nimevurugwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa nimepata supplementary masomo matatu

    Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Habari Wana Jf wenzangu Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale. Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada...
  3. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nichague kozi ipi kati ya hivi maana nimevurugwa

    Wakabwa poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi? Mimi ndoto zangu zlikua...
Back
Top Bottom