Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

KotelaMamba

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
640
1,011
Wakuu, haya maisha yanafunzo.

Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!

Mtoto aliniachia mawasiliano kumhusu yalibakia kati yake na Mama yangu na alivyofika darasa la 6 nikampeleka Boarding.

Nikaoa, sikujua habari zake tena.

Leo nikakutana na ka diary mahali, nikafungua kujua kinahusu nini, ni cha binti yangu! na nilipofungua macho yangu yalikutana moja kwa moja na namba ya Mama yake.

Sijaonana naye almost 12years now!
Nikapata msukumo kutoka ndani yangu kujaribu kumpigia, as ilikuwa mchana nikajua atakuwa katika mazingira ya kazi.

Nilivyopiga ile namba haikupokelewa, na baada ya dakika kama 10 ikanipigia.
Nilimsalimia tu akanitambua! Alizungumza na mimi kwa heshima sana na kwa sauti ya upole.

Nikatamani kujua status yake, ameshaolewa with two kids.

Yeye anajua kuhusu mimi via my daughter wanawasiliana.

Basi tukapongezana pale na kuagana.

Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform ya kushare ninavyojisikia

Natamani sana kumwona tena!

Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue

Sijui nafanyaje hapa wadau...
 
Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia

Natamani sana kumwona tena!

Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue

Sijui nafanyaje hapa wadau...
Ndugu hongera sana kwa kuchukua hatua za awali kabisa kwenye kuivuruga ndoa yako
 
🐶wewe...ndo mnaoharibu mahusiano ya watu...ndo mnaosababisha tutukanwe masinglemom....eti natamani nimwone tena☹️ muwe mnakuwa na huruma na wanaume wenzenu waliowahurumia mliowatelekeza.NAKUCHUKIAAAA
Dada take a chill pill. Ya huku mtandaoni tuyasome na tuyaache. As long as unajijua uko sawa basi keep on being good. Unaweza kuta mleta mada kakaa sebleni kwa kaka/shem wake huku anakunywa mo energy.
 
Back
Top Bottom