nimevamiwaaaaa

nimevamiwaaaaa

hivi wewe hujui kama ni mwanamke mrembo ndio maana midume miudenda inawatiririka
Sasa ndio unataka kutafuta nyumba ndogo jamani? Wewe badala ya kunisaidia unanitenga zaidi. Daah.
 
afadhali kubwa la maadui upo maana maana uyu mzee wa ndyofu kutoka arachuga kila anapopita ni utata mtupu,

ha ha haaaa!!! anaharibu configurations nini? embu mping uone kama bado yupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom