Kwahiyo unahitaji police au?
Kwani kajifunga mabomu?BADILI TABIA jamani ulinzi unahitajika
Kisa alivokuja kipindi kile alikupa ofa ya ndyofu au? Mbona mie niko Mwanza wala hunitafuti sis?
Hahahahaha, kumbe alivonambia aliwapa ofa mpaka kidogo mlale bar alinidanganya eeh?Aaaahhhh wapi,, alinipa au sie ndio tulimpa????? Hebu muulize Elizabeth Dominic kama ye ndo alitupa au sie ndo tulimpa.... Chezeiya totoz za Rock City...........
Hahahahaha, kumbe alivonambia aliwapa ofa mpaka kidogo mlale bar alinidanganya eeh?
Kakudanganya huyo :lol:
Kwani kajifunga mabomu?
Kwahiyo unahitaji police au?
Aaaahhhh wapi,, alinipa au sie ndio tulimpa????? Hebu muulize Elizabeth Dominic kama ye ndo alitupa au sie ndo tulimpa.... Chezeiya totoz za Rock City...........
hivi we umepona?