nimevamiwaaaaa

nimevamiwaaaaa

Haaa.... FYI wakati wamkol tulikuwa pamoko dry gin ikihusika saaaana...... "Nipo sehemu hata siijui na watu siwajuiiiiii" unaikumbuka hii statement????????

nilijua tu tena najua alikuwa anawapa iyo dry gin ni Nicas Mtei dereva wa kidaladala cha msuto kaja na faranga zake huko, i hope mlimnywa vya kutosheeerrrrrrrrrrr
 
Last edited by a moderator:
Ntake radhi honey ! Mie nishakwambiaga hakunaga zaidi yangu mimi na wewe mpenzi. Hata Filipo na Mungi nishawaambia nakupenda sana hivyo wakome kunifuatafuata kwenye PM.

We sweetlady jana ulipokuwa chumbani kwangu si ulikuwa unalalamika kwa furaha afu ukanambia umeshaachana na nitonye?
 
Last edited by a moderator:
We sweetlady jana ulipokuwa chumbani kwangu si ulikuwa unalalamika kwa furaha afu ukanambia umeshaachana na nitonye?
We we we! Koma ukomae tena na untake radhi kabla sijareport abuse! Futa au thibitisha kauli yako kabla sijaomba mwongozo wa Invisible.
 
Last edited by a moderator:
We we we! Koma ukomae tena na untake radhi kabla sijareport abuse! Futa au thibitisha kauli yako kabla sijaomba mwongozo wa Invisible.

..Nachukua jembe naenda zangu kulima nikirudi mshapatana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa bahati nzuri Lily Flower anajua we unatuibia sana pasword zetu....................... afu Lily Flower hawezi kuona hii kitu
Hehehehe! Akija ole wako nikuone unapata kigugumizi cha macho!

Umwambie huli, hunywi, huogi na hulali kwaajili yangu! Ole wako.
 
Last edited by a moderator:
nilijua tu tena najua alikuwa anawapa iyo dry gin ni Nicas Mtei dereva wa kidaladala cha msuto kaja na faranga zake huko, i hope mlimnywa vya kutosheeerrrrrrrrrrr

Yan we acha suka Nicas Mtei ni noumerrrr.... Afu mbayaaaaaaaaa..... katunyweshaaa lakn ye anywa maji tu :lol:....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom