nimevamiwaaaaa

nimevamiwaaaaa

Erickb52 nakulipizia kwa ankoo, yan sikubali ule vya wenzio, leo upate uchungu
 
Last edited by a moderator:
Uache kabisa hiyo tabia Erickb52, handsome buoyi kama wewe kudanganya wenzio Mungu hapendi.

Haya msalimie sana nanilii (kipenzi cha roho yangu).....afu usisahau kupita kwa shangazi ulete........(jazia hzo dash) kwaajili ya x'mass!


Mwisho kabisa utanikuta stand nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic na charminglady iyo dry gin mliinywa wote kumbe, haki ya nani... sijui tu maana soon tunawapoteza

Haaa.... FYI wakati wamkol tulikuwa pamoko dry gin ikihusika saaaana...... "Nipo sehemu hata siijui na watu siwajuiiiiii" unaikumbuka hii statement????????
 
Last edited by a moderator:
Uache kabisa hiyo tabia Erickb52, handsome buoyi kama wewe kudanganya wenzio Mungu hapendi.

Haya msalimie sana nanilii (kipenzi cha roho yangu).....afu usisahau kupita kwa shangazi ulete........(jazia hzo dash) kwaajili ya x'mass!


Mwisho kabisa utanikuta stand nakusubiri.

Mwambie Erickb52 chonde chonde pale UDOM pale!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom