ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.
Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.
Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
Mbowe amenunuliwa na ccm,kwa kumleta lowasa,kubomoa Upinzani,Inawezekana LOWASA ametumwa na CCM kuua upinzani,Mbowe kwa uroho wa Hela amekiuza chama,Hafai huyo mbowe,anapenda hela kuliko maslahi ya watanzania
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia KATIBU mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana. Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.
Naomba nitumie fursa hii kumuomba mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.
Sio chadema hii .chadema ni mpango wa Mungu .atudanganyiki .asuse sisi tunaendelea hatuna namna ccm out 2015 nilazima .Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu .wewe na Dr ninani muweze kumkwaza Mungu.
Kwani hata Dr. Slaa angesimamishwa kugombea urais kupitia ukawa angeshinda? Mm nahakika asingeshinda. Nguvu alionayo Lowasa na uwingi wa wafuasi wake ni dhahiri atashinda.Dr Slaa angeungana na wapambanaji wengine kuing'oa ccm.maana nia ni kuiondoa ccm madarakani
Kweli mkuu, hizi mbio za sakafuni za Mbowe kukimbilia Ikulu kwa kumtumia Lowassa ambaye ni mwanachadema wa kuja, zaweza kuishia ukingoni.Mbowe na mashabiki wake wanaweza wasielewe madhara ya hii hatua wanayoipigia debe sasa, ila ukweli unabaki palepale kwamba Chadema sasahivi haijulikani inapigania nini. Mimi kama mwananchi wa kawaida sijui misingi ya itikadi ya Chadema ni ipi kwa sasa.Je ni kuingia ikulu tu; na wakishindwa kuingia ikulu Chadema watatuambia nini, wakati tayari wameshakana "principles" zao; kwamba wao ni chama kinachopinga ufisadi nchini? Najiuliza, next time Chadema watasafiri kwenda nchi tajiri kutafuta support ya kitu gani kama wameamua kwamba ufisadi siyo vita wanayopigana nayo?
why Mbowe?we have been told that those are Committee's decisions.why Mbowe and not Prof.Beregu,Safari,Malando and Dr.Slaa(who attended the meetings and upheld decisions)Bavicha: cdm members and fans your leaders ( mbowe) might be wrong learn to think for yourself.
Amani iwe kwenu watanzania wote!
Kumekuwa na mtikisiko ndani ya Chadema baada ya Dr slaa kutoonekana ndani ya vikao vya chama. Bila Dr slaa Lowassa huwezi kushinda urais hili liko wazi.
Kama unania njema ya kwenda Ikulu nakuomba kwa kutumia hiyo nia njema liunganishe Taifa kwanza kwa kumrudisha Dr Slaa Chadema. Ukishindwa hilo najua wewe ni msanii hutufai umekuja kutubomoa!
Nimekuwa kwenye maombi kwa siku 5 bila kula mlo wa kutosheleza ili Dr slaa arudi Chadema.
Mungu ibariki Chadema, Mungu mbariki Dr slaa, Mungu ibariki Tanzania.
Amina!
Kusamehe ni tabia ya kristo yesu alikaa na maadui. Dr hili lifikilie kwa makini naamini upadrii bado umo moyoni mwako ni Mimi mwinjilist.