dk slaa kwisha habari yake kwan anahatimiliki ya kugombea urais
Hatuhitaji ushauri kutoka Ccm wala watu wa lowasa katika hili. Naomba mkae mbali na sisi. Wewe siku zote CHADEMA inajengwa unaitukana tunakujua. Hujawahi kuwa na nia njema hata siku moja. Hii unayoifanya hapa ni kazi ya shetani ambaye kwako ni mungu. Nenda kamwambie shetani tumekufukuza, hatuhitaji uwepo wako.
Watu wa lowasa wana tabia za uccm na msidhani hatuwajui.. UKAWa wanahitaji kura zenu na si zaidi. Msitegemee lolote na hata kama fisadi wenu atakuwa raisi, hatakuwa na uhuru wa kufanya upumbavu kama milivyokuwa kule ccm. Hivyo ninyi subirini tarehe 25 mfanye kazi yenu muishie hapo. Hatuwategemei kwa lolote.
Habari ya CHADEMA tuachieni wanamabadiliko. Mmetukuta nacho kimeng'arishwa na kuimarishwa, ni vizuri mkakaa kwa adabu mkijua sehemu mlipo siyo ile ya kichawi chawi mliyozoea. Jifunzeni kuishi kwa ustaarabu wa chadema. Vinginevyo hata huyo fisadi wenu tutampiga chini.