Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia KATIBU mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana. Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.

Naomba nitumie fursa hii kumuomba mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.

Nitakuwa wa mwisho kabisa kuubeza, kudharau mchango wa dr slaa ndani ya Chadema na taifa kwa ujumla katika safari ya mabadiliko. Kazi aliyoifanya 2010 ndiyo iliyozaa nguvu hii ya ushawishi wa mabadiliko kwa watanzania. Nasema nitakua wa mwisho kuungana na Mbowe, ati dr slaa apumzike. Nitakuwa mnafiki kufanya hivo na muongo kabisa. Naamini na nitasimama imara katika kufanya lolote kuhakikisha mabadiliko yanapatikana.lakini pia natambua nguvu ya Lowassa na umuhimu wake katika safari hii ya mabadiliko makubwa lakini pia kwa hekima kabisa ingekuwa vyema Mbowe angeeleza kwanza hoja iliyopelekea kuleta maamuzi hayo kisha tukamsikiliza dr slaa kwani nitamshangaa sana mwanachadema aliyeishangilia kauli ile bila hata kuuliza, kutafakari majibu, na kupima athari zake.
Tunayahitaji mabadiliko kwa gharama yeyote ile ila si kwa kukubali kuitenganisha nguvu tuliyonayo katika safari hii ya mabadiliko."mchango wa lowassa ni mkubwa katika safari hii ya mabadiliko lakini pia nguvu ya dr slaa ndiyo daraja kuu litakaloiunganisha nguvu ya chadema na nguvu ya Lowassa"
By Fikra mfumo.
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.

nimekuelewa mkuu,,, lowasa anaonewa tu, na katika harakati za ukombozi watu dont care how much you been suffered
 
kwa kweli pamoja na ujio wa mwamba wa kaskazini, kuleta amsha amsha, lowassa hakutakiwa kupewa nafasi ya juu kiuongozi. Kwanza hajakijenga chama. Yeye alitakiwa kuandamana na mtu ambaye angeteuliwa kugombea urais kwenye mikutano yote ya campaign.

Kwa kweli dr upo sahihi sana kwa maamuzi yako. Naomba tuheshimu maamuzi yake.
hajapewa nafasi ya juu ya uongozi ndani ya chama!amepewa nafasi ya "kugombea"uraisi ili kuiondoa ccm madarakani!!!!unapokuwa kiongozi wa chama cha siasa,lazima uangalie kipi kitakupa "ushindi".tusipende kuwa na akili za "mgando",kila wakati tunawaza yale yale,lazima tuwaze tofauti.kilichofanyika ni kuunganisha "nguvu"kuhakikisha ccm inatoka madarakani.nashawishika kuamini kuwa kuna watu wangependa kuendelea kuwa "wapinzani".kamati kuu ni chombo cha maamuzi ndani ya chama,ni kukosa adabu kupinga maamuzi ambayo na wewe ni sehemu ya maamuzi hayo.tafsiri yake ni kuwa hakuna "collective responsibility".
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.

Nimependa point zako nikweli mtu kama Dr alikuwa nania ya dhat Kwa watanzania Hana bud kuungana na makamanda kwakuwa ukomboz ni Sasa
 
ni kwel michael...slaa amuachie LOWASA kwasasa coz he iz on fire....watanzania wapo tayar kumuunga mkono
 
Your GENIOUS my friend, ujumbe umefika na wengi tumefungukka. Watanzania inabidi tuelewe MAIN OBJECTIVE yetu ni kwamba tunahitaji mabadiliko tu. Njia inayoweza kutupa mabadiliko kirahisi bila kuingia msituni ni kwa upinzani kumtumia Kada mkubwa wa adui yetu kuing'oa cCm. Hamna mtu mwingine atakayeweza kuing'oa ccm tofauti na EL. Ukawa tupo pamoja na mabadiliko tumeyapata. Dr Slaa tunaomba ufunguwe macho yako vizuri
 
Binafsi natambua na kukumbuka juu ya maumivu aliyo yapata,kutokana na jambo hili ila nadhani yeye ni mtumishi wa mungu atutangulize wenzie mbele yeye awe wa mwisho ktk kufanya maamuzi ....Ajue kuwa taifa kwanza sisi baadaye...Bado namuomba ndugu yangu na mpendwa wangu Dr.Slaa lejea kundini,kwa bahati mbaya kwa sasa hata simu yangu hapokei najua kwanini hapokei na ndiyo maana nimeona niongee kupitia hapa.
 
Dr Slaa alipaswa kuelewa kuwa mabadiliko ni muhimu sana pasipo kujali mabadiliko hayo yanaletwa na nani. Kama CCM walishasema watashinda hata kwa goli la mkono, ilikuwa muhimu sana kwa UKAWA nao kuhakikisha wanashinda kwa goli la mikono miwili. Walichofanya CHADEMA na UKAWA kwa ujumla kilikuwa muhimu sana kwa wakati huu tulionao. Kujiondoa kwa Dr Slaa kunamfanya aoneshe dhahiri ubinafsi wake.

Mkuu kamanda sio mbinafusi ila anajaribu kusimamia alicho kiamini tangu mwanzo
 
Your GENIOUS my friend, ujumbe umefika na wengi tumefungukka. Watanzania inabidi tuelewe MAIN OBJECTIVE yetu ni kwamba tunahitaji mabadiliko tu. Njia inayoweza kutupa mabadiliko kirahisi bila kuingia msituni ni kwa upinzani kumtumia Kada mkubwa wa adui yetu kuing'oa cCm. Hamna mtu mwingine atakayeweza kuing'oa ccm tofauti na EL. Ukawa tupo pamoja na mabadiliko tumeyapata. Dr Slaa tunaomba ufunguwe macho yako vizuri

bali kuungana na Lowasa kisha wakashindwa ila namuomba kuwa alichokiona hakipo bali ni ushindi kwa Chadema na ukawa kwa ujumla,kwani ukawa bila Dr Slaa ni shida nyingine anapaswa kulijua hilo na kuacha hisia za kushindwa bila kuingia vitani Kamanda Dr .Slaa naomba lejea kambini tuendeleze vita na huyu koplo mpya pleaseeeeee Dr slaa na kama inawezekana naomba upokee cm yangu ninayo mengi ya kuongea na wewe please
Naamini kuwa macho yake yamefunguka na kuiona Aibu anayo ihisi itamkuta iwapo ataku
 
Nikwamba mawazo yake yali puuzwa na mbowe aliwaambia hutu mtu hatuwezi kumpokea bilan mashariti .ni lazima akajisafishe mwenyewe kwa wananchi kwenye mhadhara naajibu maswali yote kwa ufasaha atakayo ulizwa na tutakapo ji rizisha ndipo tutatoa maamuzi ya kumpokea .lakini DR.slaa akaonekana kama ameweka kauzibe kumbania lowasa lakini ilikuwa nihoja ya msingi sana
 
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia KATIBU mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana. Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna alivyo amua kufanya.

Naomba nitumie fursa hii kumuomba mh😀r Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama na Taifa.

Weng tumeumizwa kwa namna mbali mbali.
Lakini nadhani ni vizuri mtu aheshimu sauti ya dhamiri yake na si vema kuwa kigeugeu wa principles zako.
Ninamuunga mkono Dr Slaa kwa uamuzi wake, siyo vema ku compromise na principles zako na vema umefuata sauti ya dhamiri yako
 
Dr Slaa a man of principles was part of maamuzi kwa hiyo kila kitu kina blessings zake tuwe wavumilivu

Dr wa ukweli, tunakusihi tena usiendelee kuetertain wabaya wa cdm kuanzisha uzi unaokuhusu kuhusu hili. Naomba umalize mapumziko kwa amani na kurudi cdm kumalizia kazi ya ukombozi wa watz uliyoisimamia kwa nguvu na akili zako zote.Utaendelea kuheshimika milele
 
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.

4. Ninamashaka kwa uamuzi alio uchukua Dr. Slaa katika kipindi hiki muhimu kwa ukombozi wa kweli wa Tz, kama kweli Dr. Slaa alikuwa MPINZANI wa kweli au ni..........,..(.......)
 
Una akili sana hongera
 
Nafikiri dr. Anatakiwa kujitokeza na kumaliza utata huu kwa kutoa tamko rasmi juu ya hatma yake ndani ya chadema.
 
Hilo limetuumiza wengi, Lazima kuna jambo ambalo hakukubaliana nalo ndani ya kikao cha Kamati kuu na halijawekwa wazi wazi kwa watanzania kwa sababu ya kukigwa chama.

Ujio wa wageni bila masharti ama makubaliano yoyote ya kichama inaweza kuwa ni kikwazo kikuu - kwamba CHADEMA inafikiria kushika dola kwanza hayo mengine yatajulikana mbele kwa mbele kitu ambacho kwa msimamo wa DR. Slaa si sahihi.

Hata hivyo bado tuna Imani kubwa na DR. Slaa - Kamanda wetu Mkuu kwamba ataweza kujumuika nasi kama mambo yatawekwa sawa na viongozi wetu kabla ya muda wa kampeni kufika.
 
Back
Top Bottom