Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Kabisa mkuu....
Na michepuko pia aisee maana kama si michepuko we na mama yake msingeachana
Kabisa mkuu....
Nikweli wema umenijeruhi..
Lakini naweza sema jamaa alikua na wivu wa kipuuzi na ukizingatia sikua karibu na familia yao na hata mkewe pia. Nathubutu kusema jamaa hakua mwanaume anaejiamini
Asante kwa kunifariji mkuu
Pole sana mkuu ila kama ungejua ungemwambia huyo mume wa ex- wako amlipie ada aendelee kusoma hapo. Wewe unamlipia wa kwako na yeye anamlipia wa kwake.
Mkuu, tunapo kutana na kuanzisha mahusiano tunapaswa kuikabili misukosuko pamoja na tofauti, hizo zote ni changamoto tu katika kila mahusiano.
Pole sana,