Nimeumizwa na tukio hili

Nimeumizwa na tukio hili

Pole brother ts real pain but only God knows pray hardly
 
pole sana mkuu! laiti usingechepuka yote haya yasingetokea!ungeendelea kuwa na mama yake hivyo huyo mwanaume asingemuoa mama yake! kuhusu huyo mume kuja juu kwa mtoto kulipiwa ada na wewe ex wa mke wake,alikuwa sahihi kabisa.
andishile tuhuma na kutofautiana kupo katika mahusiano.
Na pengine minilipata mtazamo tofauti na maswali kadhaa kuhusu x kuingia mapema na hadi kufikia kuolewa muda mchache mara tu baada ya kutofautiana na mimi.
Pia tuhuma za kwamba nini mchepuko alikua akizitoa kwa kuhisi tu kwamba nikiwa nje ya Tz nakua simzingatii kwa kisingizio cha kua nipo bize
 
Last edited by a moderator:
Kumbe tuko wengi bahati nzuri wa kwangu hawakujiua ila it was the hard time I have never experience........ Pole sana
 
Pole sana kaka, mshukuru Mungu sana amejiuwa nyumban kwa wazazi wake kuliko angejua mpango wakuhamishwa mapema na akajiuwa nyumban kwako usingeeleweka pia
 
hapa sasa ndo mume ajue imekula kwake,
kwa kujilaumu huku haki ndo mtazaa kabisa na huyo x.
Tupo hapa!
r.i.p toto!
but nawaza pia essence ya mtoto kujirusha kisimani.
kuna kitu hakipo sawa,chunguzeni!
 
So touching....., mapenzi ni janga lingine la dunia.

Pole sana mkuu, huna kosa, ulicheza nafasi yako vyema. Ulikuwa baba mzuri kwake hadi mtoto akaona maisha hayana thamani bila wewe.

RIP MTOTO..
 
Dah!
Hii ndio hasara ya wazazi kuweka interest zao mbele (even as ridiculous as jealousy ) na kutotaka lawama! Badala ya hisia za watoto.
Parents were meant to take care of their children. Sasa hivi children ndo wanasufer to serve our interests...What a world!
 
hapa sasa ndo mume ajue imekula kwake,
kwa kujilaumu huku haki ndo mtazaa kabisa na huyo x.
Tupo hapa!
r.i.p toto!
but nawaza pia essence ya mtoto kujirusha kisimani.
kuna kitu hakipo sawa,chunguzeni!

Napata tabu kuielewa hii scenario!
 
Mkuu pole sana,kimsingi hapo sioni tatizo wala kosa kwako,mwanamke aliamua kuishi maisha anayoyataka,ni uhakika kuwa ndoa yao ilikuwa yakukurupuka ili kukuumiza ila ndo hivyo kaua mtoto wake..
 
Pole sana kaka, mshukuru Mungu sana amejiuwa nyumban kwa wazazi wake kuliko angejua mpango wakuhamishwa mapema na akajiuwa nyumban kwako usingeeleweka pia

Mhhhh....
Sijui ningeieleza nini Dunia...!!
 
hapa sasa ndo mume ajue imekula kwake,
kwa kujilaumu huku haki ndo mtazaa kabisa na huyo x.
Tupo hapa!
r.i.p toto!
but nawaza pia essence ya mtoto kujirusha kisimani.
kuna kitu hakipo sawa,chunguzeni!

Yeah mkuu, issue ipo kwa mikono ya sheria
 
ushiboy

Dah inaumiza zaidi ya sana, Mungu amrehemu huyo mtoto, alishajjiwekea kama wewe ni baba yake na hakupendezwa na maisha ya kuanza kumuita baba mpya, ungalijua litatokea hili ungalipuuzia mtoto akaendelea na maisha ya shule
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu,, NAPATA SHAUKU YA KUELEWA UMRI WA HAWA WATOTO PLEASE

Wakwangu pacha, mvulana na msichana umri miaka 10 wanasoma darasa la 4.
Marehem alikua na umri wa miaka 13, alikua na jinsia ya kike na alikua darasa la 6
 
daah,so sad may her soul rest in peace,funzo ugomvi wa wazazi usionyeshwe kwa watoto,hii huwaathiri sana hata kama mnakwaruzana jitahidin yaishie kwenu mkifika kwao ishini hata kwa kuigiza as nothing wrong happend
 
Pole sana mpendwa,wewe ni mwanamme wa roho ya tofauti sana.May her soul rest in peace.

Iwe funzo pia kwa wanaume wanaokatili watoto wao halali.
 
Jipe moyo utashinda....haya ni mapito tuu....mimi sioni kosa lako...pole mkuu.
 
Back
Top Bottom