bombom
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 614
- 228
Mume wa x - wake hakupaswa kuja juu kuhusu mtoto kulipiwa ada, kwa sababu alijua fika kwamba kabla ya kumwoa huyo mke, alikuwa na uhusiano na huyo baba anayemsomesha mtoto. Alitakiwa kutambua tu kwamba yaliyopita si ndwele...pole sana mkuu! laiti usingechepuka yote haya yasingetokea!ungeendelea kuwa na mama yake hivyo huyo mwanaume asingemuoa mama yake! kuhusu huyo mume kuja juu kwa mtoto kulipiwa ada na wewe ex wa mke wake,alikuwa sahihi kabisa.