Nimeumizwa na tukio hili

Nimeumizwa na tukio hili

daah,so sad may her soul rest in peace,funzo ugomvi wa wazazi usionyeshwe kwa watoto,hii huwaathiri sana hata kama mnakwaruzana jitahidin yaishie kwenu mkifika kwao ishini hata kwa kuigiza as nothing wrong happend

Sahihi mkuu
 
Mungu akufariji na akupitishe katika hilo pito .Ila kuwa na amani wewe sio sababu ya kifo hicho maana unaweza ukawa unajiona guilt .Mama mtu ndio wa kulaumiwa kaweka interest zake mbele kuliko za mtoto .Roho yake ipumzike kwa amani
 
Amen.....
 
Nawaza sana huyo mtoto alikuwa anafikiri nini mpaka akachukua maamuzi makubwa na mazito kiasi hicho ? Poor girl inaonekana aliumia sana na aliona watoto wako ndio ndugu zake sasa kuwekwa mbali nao ilimuumiza sana
 
Duh pole sana mpendwa kwa yaliyokukuta. Kitu kimoja usijilaumu kwa haikuwa sababu ni wewe , kama hayo mema uliyoyafanya kwa marehemu Mtoto yule , hakika Mungu hatokuacha. Hebu naomba uombe mungu akupe Amani moyoni ili , uondokane na na mzigo uliojiweka nao moyoni ambao unaweza kukutia dhambini. My dear tafuta nafasi moyoni mwako ujisamehe na kuamini haikuwa wewe ndio chanzo chs yule Mtoto kufariki. Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi kigumu . Asante !

Well said.
 
hao watoto wako wana miaka mingapi ??
 
Nawaza sana huyo mtoto alikuwa anafikiri nini mpaka akachukua maamuzi makubwa na mazito kiasi hicho ? Poor girl inaonekana aliumia sana na aliona watoto wako ndio ndugu zake sasa kuwekwa mbali nao ilimuumiza sana

Bilashaka binti [marehem] alikua ameanza kujitabua na tayari alikua amepata upeo wa kila kilichokua kikiendelea. pia katika kipindi akiwa hai nilikua nikifanya nae mazungumzo na ilipelekea mimi binafsi kumjua na kuwanae karibu zaidi kama rafiki/mzazi
 
Hilo nalo ni janga.
Ni heri ungeomba ushauri huku kabla ya kukabidhi mtoto.
.............. Pole..............
 
hao watoto wako wana miaka mingapi ??

quote_icon.png
By Silicon Valley
pole sana mkuu,, NAPATA SHAUKU YA KUELEWA UMRI WA HAWA WATOTO PLEASE
Wakwangu pacha, mvulana na msichana umri miaka 10 wanasoma darasa la 4.
Marehem alikua na umri wa miaka 13, alikua na jinsia ya kike na alikua darasa la 6
 
Hilo nalo ni janga.
Ni heri ungeomba ushauri huku kabla ya kukabidhi mtoto.
.............. Pole..............

Sikua nimetaraji kama kilicho tokea kingeweza tokea
Binafsi nilimkabidhi kimaandishi ilikujiweka salama, na sikua nimetarajia hili
 
Ulifanya wema wa kutosha. Heri huyo x wako angekuwa amemweleza mumuwe historia yote ya huyo mtoto pengine hayo yasingefika huko.

Je, wewe unajisikiaje baada ya hayo kutokea?
Sikua nimetaraji kama kilicho tokea kingeweza tokea
Binafsi nilimkabidhi kimaandishi ilikujiweka salama, na sikua nimetarajia hili
 
Daah pole sana mkuu coz najua unajihisi responsible kwa kifo cha binti. Usijihukumu please, amini ulikuwa sahihi kabisa kumkabidhi huyo binti kwao. Hata mume wa X wako alikuwa sahihi pia kukataa binti kusomeshwa na wewe. Ni vile tu binti alikuwa mdogo bado kuelewa nini kimetokea na yeye kukubaliana na hiyo hali. Mengine yaliyotokea ni kazi tu ya Mungu. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom